Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

15.12.17

JINSI YA KUFUNGUA NA KUFUNGA COMPUTER YAKO KWA KUTUMIA USB FLASH (HACKERS ACTIVITIES VOL. 1)

Hakuna jambo zuri katika ulimwengu wa technologia kama security (ulinzi) katika vifaaa vyako vya kazi.
Leo hiii tutaenda kuangalia uwezekano wa kufungua na kufunga compyuter yako kwa kutumia USB FLASH DRIVE kama hackers wanavyofanya.

MAHITAJI YA MSINGI.
1. Pc yako
2. Original usb flash drive unayoiamini.
3. Predator hacker tool x64HAPA (FULL)
bit download full files

HATUA ZA KUFUATA (kuwa makini)

1. Download na install predator link hapo juu nimeweka.


2. Baada ya kuinstall ifungue kisha chomeka USB FLASH YAKO unayoiamini,  haijalishi kama ina vitu au lah cha msingi iwe OG pia kama unataka iwe formated iformat kwanza (ifute kila kitu) kisha

3. Utaona kibox (dialog box) kitatokea ambacho kitakurazimu uweke PASSWORD bonyeza OK na CONTINUE

4. Baada ya hapo kinote kina key settings zinakiri kisha weka PASSWORD zako ambazo ni rahisi kukumbuka na mtu asizifahamu maana hizi utatumia kufungua na kufunga pc yako.
 Na kumbuka kama ukipoteza mfano hio USB FLASH YAKO utazitumia password au key settings kufungua pc kwaiyo weka password rahisi kukumbuka wewe.

AU

Kama utaki unaweza weka ALWAYS REQUIRED BOX na itakuambia uweke password ivo bhac kila mara ukichomeka au kuwasha pc itakuambia uweke IO flash na password. Kama hauna hautotumia PC

Mwisho kwenye sehemu iliyoandikwa FLASH DRIVE hakikisha flsh usika yenye label mfano drive G ipo selected.  Ukimaliza bonyeza CREATE KEY kisha OK.


5. Predator itajifunga.
Na kuirestart nenda chini kwenye taskbar yako na ubonyeze ki icon chake itawaka na baada ya sekunde chache utaona utaona inabadilika rangi kuwa green(kijani) hii inamaaanisha predator ipo ACTIVE NA INARUN.

6. Ivo bhasi kila sekunde 30 predator itachek kwamba USB FLASH IPO CONNECTED kwenye pc?!!  Na kama haipo PC itajilock na kuifungua utachomeka USB FLASH DRIVES YAKO na utaweka zile password yako.

AHSANTE