Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

16.12.17

JIFUNZE KUHACK WIFI NETWORK KWA KUTUMIA UBUNTU (KALI LINUX HACKING ACTIVITIES VOL.2)

Karibu tena ndugu mfuatiliaji wa blog yetu pendwa SMATSKILLS.BLOGSPOT.COM.
Leo tutaenda kuangalia uwezekano wa KUHACK WIFI ZOTE ZENYE PASSWORD kwa kutumia PC yako yenye mfumo uendeshaji wa KALI LINUX.
Kali linux ni nini?
Kali Linux ni moja ya mifumo endeshaji au kwa jina lingine tunaita WINDOWS ambapo mfumo huu husaidia compyuter kufaanya kazi kama mfumo uanginishi na tegemezi kwa mtumiaji wa pc (user)

Mfumo huu upo tofauti na mifumo mingine kwasabbu.
-Aina ya sifa
-Features na vinginevyo ambavyo vikiunganika hufanya kazi ya kuleta maana kwa mtumiaji wa COMPYUTER.

SIFA ZA KALI LINUX.
1. ipo secured kwa maana ni ngumu kuingilia information au data za mtu.

2. Ni ngumu kuhadhiliwa na kuvamiwa na VIRUS N.K

HASARA.
1. Ni ngumu kutumia kama hauna uelewa nayo.Baaada ya kuangalia introduction kwa ufupi leo tutaenda kuangalia uwezekano wa kuhack WIFI NETWORK KWA KUTUMIA KALI LINUX KWENYE PC YAKO.

Bila kupoteza twende tukaaanze........ Loading 45%

MAHITAJI
1. Pc yako yenye mfumo endeshaji wa KALI LINUX

2. Network connection

HATUA ZA KUFUATA (kuwa makini)
1. Fungua terminal yako ya linux
Ni rahisi bonyeza CTRL+ALT+T

Kisha andika hii code 👇
                apt-get install reaver 

Kisha bonyeza ENTER

2. Baada ya kuinstall hio kitu hapo juu hatua inayokuja ni kuinstall depedendencies hii itasaidia kupata access ya password za wifi zilizokuzunguka twende.......
Jinsi ya kuinstall piga hizi codes.... Andika

         apt-get install libpcap-dev  PRESS ENTR
                                 
Kisha andika
  apt-get install libsqlite 3-dev  PRESS ENTR

Baada ya hapo twende tuhack WPA/WPA2 WIRELESS

3. Baada ya kufanya hayo yote tutaenda install aircrack-ng kwa kufanya hivi
Palepale terminal type hii code 👇
         apt-get install aircrack-ng  

4. Baada ya hapo tunatakiwa kuhack na tupate wireless BSSSID (Mac address) zilizokuzunguka au karbu na wewe.
Ni rahisi kuna njia tatu (3)
                 (a) Romance method au tunaita WIFIIASPECT method (kama uifahamu soma HAPA UIFAHAMU VIZURI

                 (b)poison codes ambapo tutaiongelea siku ingine hii huuusisha utengenezaji wa virus folder kisha unamtumia victim unayetaka kumhack (Facebook,  whatsap, emails yan vyote utahack kwa njiii hii.
             
                 (c) Airdump-ng (brute forcing)
Na leo tutaitumia hiii njia ni fupi sana twende kazi...........


Pale pale kwenye terminal tunaendelea au kama uliiifunga ifungue tena kisha weka hizi codes
                 airmon-ng start Wlan0 (hio kwenye Wlan0 ni zero not o)

Baaada ya kumaliza piga ENTR kisha endelea na code hiii hapa
               airdump-ng mon0 (hio O ni zero not o) press ENTR.

Hapo compyuter yako italist na kukuonesha available password za wifi nyingiiiiii sana... Sasa utaona mac address ambayo tunaita BSSID
Mfano ukaona ipo hii hapa 00:12:35:40:30:90

Njoo sasa fanya hivi
Piga code hiii hapa ili kuconnect hio mac address
           reaver -i mon0 -b 00:12:35:40:30:90  press ENTR


HAPO COMPYUTER itaaanza kutest PIN zote (password) kwa kutumia bruteforcing method na mwisho itakupa password ya WIFI ZOOOOTE baada ya process kuisha.

@ahsante