Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

17.12.17

IFAHAMU SIRI NZITO YA KUSHINDA MBET (RAHISI SANA)

Kamali ya kubashiri matokeo ya mchezo wa mpira ni moja ya michezo ambayo hupendwa na kila mtu hasa kwa wale mashabiki na wafuatiliaji wa mpira.
Mchezo huuu huusisha kampuni mbalimbali ambazo hufanya kazi kama kiwezeshaji wa mchezo huu wa kamali.
Baadhi ya kampuni hizo ni pamoja na

1. Mbet
2. Premier be
3. Meridian bet n.k

Kampuni zote hizi huusaidia mchezaji kuwekeza kiasi cha pesa kwa ajili ya michezo fulan inayotarajiwa kuchezwa. Kisha kusubiria matokeo

Kama tunavyojua mchezo wa kamali kuna kushinda na kushindwa ivo endapo ukiiipatia utapewa kitita cha pesa kukingana na ela uliyowekeza kwenye mchezo huu.

Hivo basi leo hiii SMATSKILLS tumekuletea trick ndogo sana ambayo hii itakuwa kama muongozo wako pale endapo ukieeenda kufanya utabiri wa timu yako. Ni rahisi sana

Baaada ya kusema hayo fuatana nami kwenye video hii ya maelekezo na maelezo yakielezea trick hiii ndogo sana ( watch this)👇👇👇👇👇