Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.12.17

HONGERA YOUTUBE KWANI WAJA KIVINGINE NA BONGE LA APP

Uhali gani wana smatskills??
  Leo tumekuleteeni Mpya kutoka katika soko la apps hii ni kutoka katika kampuni La (Google LLC).
   Waja na nini soma zaidi hapa chini.....

Leo December 4/2017 App mpya yaingizwa sokoni ili hali bado ipo katika Matengenezo zaidi.

Hapo Mwanzoni mwa mwaka huu wahusika Na wamiliki wa app ya YouTube walisema Kutoa Toleo jipya Ifikapo November 2017 Au Mwanzoni mwa mwaka 2018 ila Sasa wameiachia app yao Ila bado ipo katika Maboresho zaidi.

      Watumiaji wa App ya Youtube walitoa malalamiko yao kuhusu swala la Kuongezwa Kipengele cha mtu kuweza ku download  Video kutoka YouTube bila kitumia Apps zingine Ambazo hazipo kihalali Na Haziko kimaadili Mfano Wa apps hizo ni Vidmate [Ina support video za ngono mara nyingi Hutuma Notification Zake kwa watumiaji wa app hiyo jambo ambalo wengi hawalifurahii.]

App hiyo mpya iliyotoka inaitwa [YouTube GO]
 Unaweza ipata hapa >> New YouTube GO Apk MB 8.0 V6

SONA HAPA PIA: JE UNAFAHAMU NENO GOOGLE LINA MAANA GANI?? SOMA HAPA

            Uwezo ambao Imekuja Nao:

>Uwezo wa kuDownload Video Hapo hapo
     
 unaweza kuangalia Video bila Kutumia data
 (Yaani unapoigusa iliuitazame Itakuuliza PLAY Or Download  huku ikiwa tayari ishaanza kuonyesha Hata ukizima data]
                         

>Unaweza Kushare video Yenyewe Direct sio tena link kama Awali.
 Furahia mambo mazuri kutoka katika app hiyo ya YouTube GO ambayo imesheheni Vitu vingi. 
                                       
SOMA HAPA PIA >>TENGENEZA UWANJA WA KLABU YA BARCELONA NA TIMU ZINGINE KATIKA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2018