Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

18.12.17

FUNGUA ZIP FOLDERS ZENYE PASSWORD BILA KUJUA PASSWORD HUSIKA KWA KUTUMIA COMPUTER YAKO

Ni siku nyingine tena ndani ya ulimwengu wetu wa teknolojia kupitia SMATSKILLS.BLOGSPOT.COM, Habari za saizi wafuatiliaji na wapenzi wa blog yetu?


Leo tutaenda kuaaangalia uwezekano wa kufungua,kuhack,kucrack zip folders zote zilizolindwa na password bila kufahamu password husika ya kufungua file hilo.

Nadhani nikiongelea ZIP FOLDERS tunaelewana.
Zip folders haya ni mafaili ambayo yamewekwa kwa utaratibu maaalumu na kulindwa dhidi ya virus, sasa tunatumia zip folder pale endapo tukitaka kuhifadhi data zetu kubwa sehemu moja hapo utalazimika kutumia zip folder kwasabbu aina hii ya mafaili humsaidia mtu hata kumtumia mwezake kwasabbu zip folders hupunguza ukubwa wa file na kufanya mtumiaji aweze kupata wepesi kwenye uhifadhi, kushare na marafiki hata ku upload mtandaoni.

Na mara nyingi ili kukwepa mtu asiiingilie data zako watu wengi hupendelea kuweka PASSWORD. 
Na password hizi endapo ukizisahau bhasi utakuwa umepoteza data zako

SWALI?
Nitafanya nn au kuna uwezekano wowote wa kuhack, kutrack,kucrack zip folder zenye password?......................


JIBU NI NDIYOOOOOOOOOOOOO!!!  BAKI NAMI..


MAHITAJI
1. Computer yako
2. Crack software download HAPA (CRACK TOOL)

Baadaa ya kusema hayo kabla sijaenda kwenye hatua, programe hiii inaweza pia kufanya kazi kucrack file hizi
      👉MD 2.                  👉CRC 16
      👉MD 5.                  👉CRC 32
      👉SHA-1.                 👉CRC 64
      👉SHA-2.                 👉Adler 32
NOTE
Unatakiwa kuinstall 7zip kwenye pc yako ili uweze kucrack ZIP FOLDER kwa kutumia kifaa hiki

JINSI YA KUFANYA
1. Download na install program ya kucrack link ipo hapo juuu
Na extract kisha i RUN (ifungue) kwenye pc yako

2. Baada ya hapo bonyeza BROWSER TO ARCHIVE na chagua PASSWORD PROTECTED ARCHIVE.
Baada ya hapo chagua character set(s) na kama ukitaka kuzi exclude (kuzitenga) hizi character zitype (ziandike) kwenye kibox kilichandikwa exclude characters kisha set MINIMUM na MAXIMUM PASSWORD LENGTH.
Baada ya hapo bonyeza START PASSWORD RECOVERY.
Hapo programme hii itaaanza kucrack password na zoezi hili hapa uchukua dakika kadhaaaaa.

Baada ya hapo subiri mpka imalize na baada ya zoezi hili kuisha utaona mwisho imekuonesha password ambazo utatumia kufungua hilo file zip folder ambalo password ulikuwa uijui.