Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.12.17

FAHAMU JINSI YA KUUNGANISHA WIFI 2 NA KUPATA NETWORK 1 YENYE KASI MARA MBILI KWENYE COMPYUTER YAKO

habari za jumapili wapenzi wafuatiliaji wa blog yetu ....
leo sina mengi ila nitaenda moja kwa moja kwenye kichwa na madhumuni ya somo letu hili tamuuu.

Leo utakuwa nami muwezeshaji wako nikikueleza na kukujuza jinsi ya kuunganisha WIFI mbili na kupata wifi 1 yenye speed mara mbili kwa kutumia compyuta yako.

sasa hili swala hutokea Mfano umewasha pc yko kazini,nyumbani,au mahali popote na ukaona unaconnection ya WIFI NETWORK zaidi ya mbili na wewe umeconnect wifi moja na ukaiacha nyingine ipo tu ..... USIWE MVIVUUU 

unauwezo wa kuconnect hizo wifi mbili zote na kupata network moja yenye speed mara mbili .
mfano . Wifi A ina speed ya 1MPS na ingine ina ambayo ni Wifi B ina 2 MPS

               utachukua WIFI A (1MPS) + WIFI B (2MPS) = UTAPATA  3MPS SPEED
UTAFANYAJEEEEEEE??????????? BAKI NAMI............................loading 89%


HATUA ZA KUFUATA ( kuwa makini)
njia ya 1 

1. tengeneza connection yoyote kwenye pc yako kama unatumia Modem au wireless vyovyote cha msingi pc iwe imeunganishwa na network

2, baada ya hapo mfano umeconnect na wifi hotspot na ukaona kuna wifi ingine ipo active cha kwanza kabla ujaanza kuziunganisha hakikisha zote zina nguvu (active).

3. baada ya kufanya hivo connect na hio wifi moja kisha nenda Network devices  kwenye pc yako na mara nyingi hupatikana kwenye CONTROL PANEL .  Ingia control panel kisha search network device.

kwa windows 7 au vista nenda bonyeza network icon kwenye TASK BAR >kisha fungua>network and sharing adapter>kisha bonyeza>change adapter settings  

4. baada ya kuingia hapo utaona connection zote zilizopo karibu na wewe.

5. sasa basi utachagua network ambazo unataka kuziunga hivo basi drag na select hizo Active networks kisha right click na bonyeza bridge connections baada ya hapo subiri mpka network bridge icon zenye muonekano tofauti kuonekana . hapo utakuwa umemaliza.

njia ya pili 

kama tunavyojua ukiconnect connection mbili kwenye pc yako ,kompyuta kwa kawaida huwa uchagua network moja ambayo itatumia kwenye kuconnect ....ivo sasa sisi tunataka kuconnect 2 networks na kuunda network moja yenye speed tunafanyaje??????

hapa unauwezo wa kuforce windows  7,8 kuconnect kwenye hizo networks na kuunda network moja
kwa kutumia njia rahisi sana
 hatua za kufuata
1. fungua network and sharing center kisha nenda change adapter settings

2. kwenye hio network ambayo ipo active(wifi,LAN,3G,4G) iselect na nenda properties

3. kisha chagua internet protocol TCP/IP version 4 kisha fungua properties zake kisha nenda ADVANCED.

4. Uncheck Automatic metric na weka 15

5. rudia hatua hizi kwenye network zote unazotaka kuunganisha (kucombine)

6. RESTART COMPYUTER YAKO.


mpako hapo utakuwa umeweza kuconnect 2 networks

SOMA PIA : APPS 6 BORA KWA MWAKA 2017

ahsanteniiii
kama ukikubwa na chochote tujuzeeeeee
@smatskills 2017