Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.12.17

Download toleo jipya la GBWhatsApp v6.10Leo hakuna mengi ya kusoma, kila mtu anaijua GB mods na apps zao,haya ni matoleo mapya lya GBWhatsApp na GBWhatsApp3 na unaweza kupakua yote  hapa

👉 GBWhatsApp v6.10

👉 GBWhatsApp3 v6.10

Nini kipya:?...pamoja na toleo hili kuja na mengi lakini hivi ni baadhi tu

EMOJI:kwa emoji zinafanana na zile za Whatsapp ya Play store, na nyingine mpya zimewekwa pia.

DND MODE:[Disable Internet Only for Whatsapp ]Hii ni mpya kabisa toka kwa hawa jamaa, kwa uwezo huo utaweza kukatisha mtandao kwa whatsapp tu, lakini app zingine zikaendelea kufanya kazi kama kawaida..

Endelea kuwa Karibu na blog yetu kwa ujuzi zaidi,usisahau kushare kwa ndugu na jamaa ili waweze kupakua GBWhatsApp mpya.

Karibu Kwenye group letu telegram smatskills