Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

12.12.17

Download Sony Album apk [no root]

     Ni mara nyingine tena kama ilivyo kwa blog yetu, smatskills kazi yetu ni kuwahangaikia watembeleaji wetu ili kupata kitu kizuri na kwa urahisi tena kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.

 >>JINSI YA KUTAFUTA SIMU ILIYOIBIWA

>>FAHAMU MAANA YA VIFUPISHO VYA MANENO        KAMA VILE NENO GOOGLE NA MENGINE MENGI      !!SOMA HAPA

Katika siku kadha zilizopita tulifundisha jinsi ya kupakua apps za Sony kwenye  simu za android yeyote kakini kikwazo kikawa mpaka uroot simu.
  Leo tumekuweke app ya album ya sony na hakuna haja ya kuroot simu yako.
  ‎unaweza kuipata hapa 👉 Albamu


Albamu ni nini? Album ni app ya sony ambayo ni kama ilivyo Gallery kwa simu zingine,uzuri wa app hii inakuonesha picha zote na nyingi kama ilivyo kwa Gallery za iphone na Samsung kwanzia S6 kwenda juu,ukiwa na albamu unaweza kupanga kuangalia kwa muda au kwa eneo (locations) hata kwa folda.
  sifa ingine unaweza kuzoom(kukuza) na kuona picha chache au nyingi kwa pamoja.

Tunawajali sana, na tunathamini muda wenu wa kutembelea, usisahau kushare na ndugu na marafiki zako nao waweze kupakua bure bila kikwazo.
Kama kuna app unataka na zinauzwa au umeshindwa kupakua tuandikie kwenye comment chini hapo