Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

26.12.17

App ya Smatskills yatengenezwa[Download sasa]

 Ni muda kidogo umepita toka blog yetu pendwa ianzishwe,moja kati ya miradi iliyokuwepo mezani ni kupata app, app ambayo itamrahisishia msomaji wetu kupata habari kwa urahisi zaidi bila kutumia kivinjari.


Hii app itatumika na itakuwa ikifanyiwa maboresho kila baada ya muda fulani ili kuendana na wakati.
Unaweza kuipakua hapa

    JINSI YA KUWEKA KWENYE SIMU :

Nenda kwenye settings/security/unknown sources <on>
Kiswahili[mipangilio/ulinzi/vyanzo visivyojulikana]<washa>
   Baada ya kufanya hivyo sakinisha app yako ya sasa kwa ajili ya matumizi.
                                           

Muonekano wa app kwa ndani, ikiwa pamoja na link za mitandao ya kijamii 
TAZAMA JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO INSTAGRAM

Bado tunahitaji maoni ya wadau wetu, tuambie unaionaje app yetu, je una wazo lolote?? Tuambie hatutasita kujibu