Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

8.11.17

Wafanya Biashara Tumieni Currency app kujua thamani ya pesa

Habari wapenzi wa blog yetu, tunafurahi kwa kufuatilia kila siku mafunzo na ujuzi mbalimbali unaotolewa humu,tunakutia moyo uendelee kutembelea kila siku kwani utajifunza mengi sana ukiwa SmatSkills.

Soma pia:- BADILI KASI YA MTANDAO WAKO KUTOKA 3G-4G
Mfano wa currence kwenye thamani ya sarafu tofauti

  Leo tupo kwa wafanya biashara,hata kama sio mfanyabiashara pia unaweza pia ukawa ni mnunuzi wa bidhaa mbalimbali mtandaoni, mfano Kenya, China na hata Dubai. Je utajuaje thamani halisi ya ile sarafu ya nchi husika kwa wakati huo??hapo ndio Currence App unapohitajika,hii app ina sarafu za nchi zote na inakupa rate ya wakati husika kabisa,kama ujuavyo dola inapanda na kushuka.ukiwa na hii huna haja ya kuibiwa kwa kubadilisha pesa kwa rate ambayo sio halisi.
  Nimekuwekea hapa👉 CurrencePro ambayo kwenye soko la Play Store inauzwa.

Soma pia:- NJIA 10 BORA ZA KUONGEZA PERFORMANCE YA DEVICE YAKO

Asante kwa usomaji wako kama una swali lolote umeshindwa kuitumia niandikie kwenye Comment chini na utajibiwa kwa wakati,au unaweza pia kujiunga na kundi letu Telegram SmatSkills kwa mengi zaidi.