Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.11.17

UCBROWSER YARUDISHWA PLAYSTORE

Ni hivi karibuni kulikuwa na tetezi na skendo inayowakabili kampuni endeshi ya UCBROWSER kufungiwa na kutolewa kwa app yao pendwa playstore .
tetezi hiii ilivuma baadaya ya kampuni hii kushindwa makubaliano yaliyowekwa baina yao na google services hasa kwenye nyanja ya viwezeshaji na vitafsiri vya html codes (browser)

skendo hii iliumiza watu wengi sana hasa kwenye nchi za mataifa ya asia,  hindi n. k kwasabbu haya mataifa imeonekana zajdk ya watu 500 milion wanatumia hii app kwasabbu ni moja ya browser ambazo hufanya vzr sana hasa kwenye upande wa speed n. k

ILA leo hiii tena UC BROWSER imerud tena kwenye masoko yao kupitia google playstore.

unaweza kuipakua HAPAAA