Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

16.11.17

UC BROWSER YATOLEWA PLAYSTORE

Ni habari za kusikitisha hasa kwa watumizi na wapenzi wa browser ya simu itwayo UCBROWSER.

UCBROWSER ni kiwezeshaji kimoja wapo cha kutafsiri HTML code na kuwezesha kuleta maana ambayo binadamu wa kawaida huweza kuelewa.


Lakini siku hizi tatu tunasikitika kwa kuwaambia kwamba kiwezeshaji hiki kimefungiwa na google services., chanzo ni kukiuka masharti na promotions ambayo google service wameweka.

Kwa mujibu wa management ya google wamedai kwamba kiwezeshaji hiki katika update zao wameongeza permission ambazo ziko nyuma na utaratibu uliowekwa.
Tatizo hili limeanza kwenye nchi ya INDIA ambayo inatakribani users 500 million wa kiwezeshaji hiki ivyo basi na kusababisha nchi zingine kuaffectika na hili janga.

Kwasasa service ambayo imeachiwa kwa upande wa UCBROWSER ni UCBROWSER MINI TU hio tu ndo kwasasa twaweza kuipata kupitia playstore.

Ila kama ukiihitaji kwasasa unaweza kupakua.                                        (UC BROWSER)

Ni hayo tu.  Kwa leo

@smatskills 2017
All right reserved