Download env.pack For Barcelona.
Download Env.pak For Madrid
Habari gani wapenzi wa Smatskills ??!!.
Kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa game la dream league soccer 2018 Kama mnakumbuka hapo awali tuliwaonyesha jinsi ya kuhack game hilo basi leo tumekuja na hii...
JINSI YA KUBADILI UWANJA KATIKA GAME HILO NA KUWEKA MUONEKANO WA UWANJA WA KLABU YOYOTE DUNIANI UIPENDAYO.
kama hukuwahi tazama jinsi ya kuhack game hilo soma hapa >JINSI YA KUHACK DREAM LEAGUE SOCCER
kwa kuanza kabisa
HATUA YA KUFANYA:
1:Download Application ya ZARCHIVER
link >ZARCHIVER
2:Download File linaitwa ENV.PAK
link >ENV. PAK
3:Fungua FILE MANAGER kisha katika
internal storage>>Tafta Folder iliyoandikwa ANDROID>>Obb>>kisha angalia Folder inaitwa/au imeandikwa >com.firsttouchgames.dls3<<
>fungua folder hiyo kisha ndani utakutana na file lina MB 283.3 ..
>>Rename file hilo Kwa kuongeza Herufi zifuatazo......
Maelekezo yanayofata TAFADHARI TAZAMA VIDEO HII TUMEKUANDALIA.
smatskills©2017