Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

5.11.17

TANGAZO KWA WAPENZI WAFUATILIAJI WA BLOG YETU (SMATSKILLS) - Muhimu sana

Habari za saizi ndugu wafuatiliaji wa site yetu hiii nataka kuwajulisha kwamba sasa hivi unaweza kutufollow kwa email na ukafuata maelekezo ili tukipost post mpya upate taarifa kupitia email yako.

CHA KUFANYA

1. Ingia kwenye blog yetu kisha shuka chini utakuta
Sehemu imeandikwa FOLLOW BY EMAIL kama inavyooneekana hapo chini


Utaweka email yako kisha bonyeza SUBMIT

2. Baada ya kubonyeza utapelekwa sehemu nyingine kisha utafuata maelekezo kwa kuandika neno ambalo unaliona kwenye kibox kama hivi 👇 

Utaaandika hayo maneno yaliyoandikwa na rangi utajaza kwenye kibox hapo kisha utabonyeza COMPLETE SUBSCRIPTION REQUEST 

3. Baaada ya hapo utakuwa umefanikiwa utapewa ujumbe YOUR SUBSCRIPTION IS SUCCESSFUL

4. Baada ya hapo log in kwenye email yako kisha utakuta email yetu ya RSS FEED BY GOOGLE kisha utaifungua kisha utaverify kwa kubonyeza link utakayo iona katikati ya maelezo itaaaonekana kama hivi.


Baada ya hapo utakuwa umemaliza.... KILA TUKIPOST POST MPYA UTAPEWA TAARIFA KUPITIA EMAIL YAKO 

@AHSANTENI
@SMARTSKILLS 2017