Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.11.17

Sifa za itel P12

Kampuni ya simu za itel imeachia mzigo mwingine,na mzigo huu utawafurahisha sana wale wanaopata kero kwenye chaji,kwani simu hii inakaa sana na chaji, angalia sifa zake pamoja na bei kabisa hapa chini
SOMA PIA:- itel wazindua simu tatu kwa mpigo

Mtandao

2G GSM 850/900/1800/1900
3G WCDMA 2100
4G haina
Sim card mbili(Dual SIM)

Jumba na Kioo chake

Ukubwa wa Kioo 5.0-inch, 480*854 pixels
Multitouch vidole viwili

Sifa za Ndani

OS Android 6.0 (MarshMallow)
CPU 1.2 GHz quad-core Cortex-A7
Chipset MediaTek
GPU Mali-400

Memory

Ujazo wa ndani 8GB
RAM 512MB
SD Card mpaka 32 GB

Kamera

Mbele 2.0MP
Nyuma 5.0MP with LED flash
Video ndio

Miunganisho

WIFI Wi-Fi 802.11 b/g/n Wi-Fi-direct, Hotspot
Bluethooth Version 3.2
GPS A- GPS
USB Micro USB V2.0
Audio

Alert Types Ringtones, Vibration, MP3, WAV
Loudspeaker ndiyo
Port 3.5mm jack

Betri

CAP 5000 mAh betri la  lithium
Kucheza muziki saa 16
Kutulia tu saa 72
Muda wa kuongea saa 10.

Hii simu pamoja na sifa zake inapatikana kwanzia Tsh.120,000 kushuka chini