Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

17.11.17

Sifa na uwezo wa Infinix Hot 5 X559c

Infinix zinaweza kuwa simu geni sana kwa baadhi ya watanzania,lakini ukienda Kenya, Nigeria, Uganda,Ghana na baadhi ya mataifa mengi ya bara Asia utaweza kuona wingi wa utumiaji wa hizi simu,ni kampuni iliyoingia kwa kasi ya ajabu kayika soko la uuzaji wa simu janja.
 Leo tunakupa uchambuzi wa simu aina ya Hot 5 X559c,wacha tuone uwezo na sifa zake.

Muonekano wa Infinix hot 5 [X559c]

Soma pia:-Blackberry waachia simu mpya [Blackberry Motion]

BeiTSh. 250000-280000
Mfumo endeshiAndroid 7.0 Nougat
XOS 2.3
Ukubwa wa kiooinchi 5.5 
Display Resolution720 x 1280 pixels
ProsesaQuad-Core CORTEX 1.3GHZ, 64BIT MT6753
GPUMali
RAM2GB
Ukubwa wa diski16GB
Memori ya kuchomeka128GB
Kamera ya nyuma8 Megapixels
Selfie kamera5 Megapixels
Betri4000mAh
Mtandao3G
Soma pia:-Tecno Phantom 8 yatambulishwa

Simu hii ni nzuri kwa kweli ndiyo naitumia Inakaa na chaji.
Kitu cha kuvutia zaidi ina kitu kinaitwa XOS Family.
Baadhi ya apps za familia ya XOS

XOS Family ni mjumuisho wa apps zao nyingi za Infinix kama xhide,xtheme, xclub n.k 
Yani ili uweze kujiunga na familia hizo inakubidi ufunguwe Akaunti kwenye xaccount,hapo utaweza kupata chochote kwenye familia yao kama themes,fonts, wallpapers na majadiliano mbalimbali pamoja na kutoa kero mbalimbali kwenye simu yako.
Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu hii soma pia.
Vigezo Muhimu Kabla hujanunua Simu

 Asante kwa kuwa karibu na blog yetu, usisahau kumshirikisha ndugu yako naye aweze kupata ujuzi zaidi,tupo pia kwenye mitandao ya kijamii, Instagram, facebook twitter unaweza kufuatilia