Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

19.11.17

RUDISHA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK AMBAYO IME HAKIWA


Mambo vipi wapenzi wa smatskills, leo tumekuketea njia ya kurudisha akaunti yako ya facebook pindi inapokuwa imehakiwa Au ambayo imehakiwa....

   Jambo hili limekuwa likishamiri kwa hivi karibu kwa watumiaji wa mtandao huu wa kijamii wa facebook kukuta account zao zimehakiwa pasipokujua watafanya nini ilikurudisha account zao.
        Kwani pia Email na Namba ya simu nayo hubadilishwa na kusababisha ugumu wa kurudisha akaunti .

    Basi leo smatskills inawaletea Mbinu mbadala ambayo itakusaidia wewe au Mwenzio aliyepatwa na tatizo hilo la kuhakiwa kwa account Yake/yako ya facebook.

Watu wengi wamekuwa wakijikuta account zao za facebook zimehakiwa na watu wasiowafahamu Na kukuta wamefutiwa vitu vyao vya siri au akaunti kutumiwa kiharamia katika masuala ya kiharifu n.k

FAHAMU>>JINSI YA KUPATA CALLS, SMS, NA MATUKIO YOTE YANAYOENDELEA KWENYE SIMU ULIYOISAHAU NYUMBANI, OFISINI n.k


Vile vile Hackers wameleta njia mpya ambayo  wanaitumia ku hack account za watu facebook

Njia waliyotumia Wametumia Njia ya Trusted contact

Kama Tunavofahamu facebook wana Huduma hiyo iwapo umesahau Password Au Detail muhimu za account yako basi unaweza kutumia Rafiki yako kukusaidia kurudisha vitu Hivyo kwa njia ya trusted contact.° Kama Ukipokea ujumbe kutoka katika list ya Rafiki zako ulionao facebook kwamba umsaidie kurudisha account yake Kwakua hapo awali aliweka Namba yako kama Trusted Contact Na mtu huyo mmekutana tu Facebook Na humjui The way Alivo Tafadhari Usijaribu kufanya hivo.

° Wataalamu Wamegundua Aina hiyo Ya Phishing Mpya inayotumiwa facebbok, phishing hii inakashifiwa kutumiwa na watu walio na experience ya masuala ya Technical ambapo victim akifanya vile basi atakuwa kamsaidia Hacker kuchukua account yako kirahisi.

    JINSI YA KULIZUIA HILI
UNAPASWA:
>Kubadili password ya akaunti yako kila baada ya siku kadhaa

>Weka two verification password kwa usalama zaidi

>weka password ambayo ina nguvu zaidi( yenye tarakimu au herufi nyingi)

>Usipende kufungua email usizozifahamu ambazo zinakuomba taarifa za akaunti yako.

>Pia Epuka kuwa unafungua /log-in kwenye akaunti yako katika kila browser kwani kuna baadhi ya browser sio waaminifu

>Pia unapomaliza kutumia account yako ya log-out

kwa kuzingatia hayo utaepuka tatizo la kuhakiwa kwa akaunti na utakuwa salama zaidi bila wasi wasi.


JINSI YA KURUDISHA AKAUNTI YAKO ILIYO HAKIWA.

    LEO SMATSKILLS INAWALETEA NJIA MOJA KATI YA NJIA 3 AMBAZO TUNAZO.

    PIA SOMA HAPA>>JINSI YA KUFANYA ILI USB FLASH YAKO IWE BOOTABLE NA KUITUMIA KUPIGA WINDOWS KWENYE COMPYUTER YAKO


 HATUA ZA KUFANYA ILI KURUDISHA AKAUNTI YAKO.

>>Kwanza kama akaunti yako imehakiwa unapaswa kutembelea katika website hii http://www.facebook.com/hacked/
>>itakapofunguka bonyeza palipo andikwa MY ACCOUNT IS COMPROMISED

>>Baada ya kubonyeza hapo itafunguka katika ukurasa mwingine ambapo utaangalia kwa chini kabisa mkonono wa kushoto palipoandikwa I CAN'T. IDENTIFY MY ACCOUNT

>>Basi baada ya kubonyeza hapo itafunguka katika ukurasa mwingine ambapo ukurasa huo utakuwa umekaa kama fomu flani ya kujaza maelezo

>>Kwa hapo utajaza maelezo yako kutokana na kile utakacho kikuta au utakacho ulizwa katika hiyo fomu utajaza taarifa zako za akaunti kwa usahihi kabisa kisha utabonyeza neno SUBMIT

 Kwa kujaza taarifa sahihi katika huo ukurasa wahusika wa facebook watakusaidia kurudisha akaunti yako na kukupatia maelekezo muhimu yatakayokusaidia wewe kujihadhari siku nyingine.
                                     
KWA NJIA NYINGINE MBILI ZILIZOBAKI ENDELEA KUWA NASI HAPA HAPA ZITAKUJIA SOON.

PIA SOMA HAPA>>JINSI YA KUROOT NA KUWEKA TWRP RECOVERY KWA TECNO CX