Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.11.17

ONGEZA NA PUNGUZA HARD DISK YA COMPYUTER YAKO BILA KUPIGA WINDOWS AU KUFUTA CHOCHOTE

Habari za saizii ndugu na jamaaa mnaofuatilia blog na masomo yetu?!!.  Leo hiii tutaenda jifunza jinsi ya kuongeza hard disk yoyote ya Computer yako pale endapo ikijaaa.

Nini maana ya harddisk(kitunza taarifa)??
Hiki ni kifaaa ambacho hutunza na kubeba taarifa zote za user.(mtumiaji wa computer)

Kifaaa hichi hutumika kadri mtumiaji anapofanya kazi zake.  Na mara nyingi hakuna kitu kisicho fika mwisho,  mtumiaji huyu anavyozidi kutumia compyuter kifaa hichi huzidi kujaaa na mwisho husika hufikia hivi 👇 👇


SOMA PIA JINSI YA KUROOT TECNO C9 HAPA


Baada ya kukutana na situation au hali kama hii je utafanyaje ukiangalia hutaki vitu vyako kupotea, wala hutaki kubadili windows?!

Sasa leo tutaenda kuangalia kiundani nini kifanyike ili uweze kuendelea na shughuli zako za kila siku kwenye compyuter yako..

MAHITAJI
1. Compyuter yako
2. Easus partion master download HAPA

Baada ya hapo fuatana na video ya maelekezo jinsi
Ya kufix hilo tatizo.Ukikutana na ttzo tujuze kupitia comments kama ni shida kubwa unaweza start online chat na sisi

@AHSANTENI

@smatskills 2017