Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.11.17

NJIA 10 BORA ZA KUONGEZA PERFORMANCE YA DEVICE YAKOJinsi ya kuifanya /kuongeza Android yako iwe haraka katika itendaji wake wakazi

Zifuatazo ni njia ambazo zitakusaidia kuifanya smatphon yako kuwa haraka katika utendaji wake.

1: *Update your device Firmware
[update kutoka kampuni husika la simu yako]*
      Jambo hili ni muhimu sana katika simu yako kwani unaifanya simu yako iendane na wakati kwani kampuni la simu yako linapotoa updates mpya jaribu kuwa una fatilia kwani wanatoa updates ili kuondoa bugs katika simu yako pia wanakuwa wanakusaidia kuiweka simu yako katika mda halisi hivo basi itakusaidia wewe kuongeza Uwezo mzuri wa simu yako katika suala zima la utendaji na kuondoa setting za awali ambao zina jau.


2: *Reset Android Phone*

  .Njia hii ni ya mda tu itakusaidia sana kurudisha performance ya simu kwani unafuta kila kitu katika simu, na kurudisha mipangilio ya mwanzo ilivokuwa hapo awali lakini kwa baadaye unaweza kurudia tatizo hilo la simu kuwa slow.


3: *Check Your internal Memory space*
     Unatakiwa kuwa mwangalifu katika Memory ya simu yako njia hii inasaidia sana kuongeza performance ya simu yako kwani Device inapokuwa  imejaa sana vitu iwe ni RAM au Internal storage huifanya simu kuwa nzito na kushindwa kufanya kazi vizur pia Baadh ya system huacha kabisa kufanya kazi, unashauriwa kwamba Ram angalau iwe imejaa vitu kwa asilimia 70% na internal storage  75% unapozidi hapo unazidi kuichosha simu yako inakuwa na utendaji mdogo kabisa wa kikazi.
4: *Search good apps from play store*

Hapa utaangalia apps ambazo ni^^

> Antvirus Nzuri mfano[AVG] Ambazo zitakusaidia wewe kuscan device yako kwa kuangalia Malware au viruses ambazo zinafanya  simu yako kuwa nzito.


> .Startup manager Hizi ni application ambazo Zitakusaidia wewe kustop apps ambazo unapowasha tu simu huwa zinajianza automatically hivo kupitia hizo application utaweza kuzuia wingi wa apps ambazo huanza kufanya kazi pindi tu simu iwashwapo na hii itasaidia kuongeza perfomance ya simu yako.


> App2SD Hizi ni application ambazo zitakupa uwezo wa kuhamisha Files au vitu vyako katika Sd card hivo itakusaidia wewe kuweka Space nzuri katika internal storage na simu yako itakuwa na performance nzuri kiutendaji wa kazi.


>App cache cleaner [hapa download ambazo zipo automatically]
  Hizi zitakusaidia kufuta cache ambazo huachwa na apps baada ya kuitumia  na cache hizo huchukua nafasi sana katika simu unaweza jiuliza simu inajaa vipi wakati vitu vilivyomo ni vichache kaa ukijua Cache hujaza nafasi na hazina umhimu wowote ule kwahiyo download app kutoka play store ambazo zipo automatic kufuta cache na sio zile ambazo mpaka ui open kisha ndo ufute_.*Download apps hizo kutoka play store zitakusaidia sana kuongeza perfomance katika simu yako*

5: *Unstall unused Application*
  .Futa apps ambazo huzitumii hii itakusaidia kuongeza uwezo zaidi katika simu yako kwani simu itakuwa na space nzuri na Utakuwa umeipunguzia mzigo simu wa kuwa na Apps nyingi ambazo Hazina hata maana.


6: *Stop syncing*
Hii ni feature nzuri katika simu ambayo huwa ina synchronizes data zako pamoja na google severs au tuseme inafanya kazi ya kujizungusha na kuhakikisha inaweka data zako sawa katika google servers Unapo iweka on hii husaidia wewe kupata New notification kutoka katika kila apps, pia inakupa nortificaction ya apps mpya zilizotoka updates zake, kupata New nortification Email inapoingia , Yap hii ni nzuri sawa lakini kwa upande mwingine inashusha performance ya simu kwani inatumia nguvu nyingi kufanya kazi hivo inaifanya simu kuwa slow sana,  ili kuitia off nenda Setrings>>Accounts>>Email then tia Off.

7: *Root your phone*

 unapo Root simu yako, root inakupa Additional options za kuifanyia simu yako moja wapo ni kuongeza performance ya simu yako,  lakini root ni [risky solution] yaan Suluhisho la hatari Na sio kwamba unapoitumia bali ina [malfunction]  inaharibu uwezo wa simu licha ya kwamba yenyewe inaongeza uwezo, pia unapoteza warranty ya simu yako.

8: *Turn off Animation*
 Nin maan ya Animation???? Animation [Actually fades out in phone screen and in as you switch one task to the other]  yaan ni hali inayojitokeza katika screen ya simu yako pindi unapotoka Kazi moja kwenda nyingine huwa screen inafifia/inatoka kwa [slow-mo] ,Hapa ili kuelewa zaidi jaribu kufanya jaribio hili Ingia settings >Developer options>Tia on kisha Angalia haya chini palipo andikwa Animation scale nakisha fanya settings kama hivo👇👇👇

>Window Animation scale weka 10x
>Animation scale weka 10x
>Transition Scale weka  10x

.Kisha baada ya kuweka hivo utaona hiyo ninayo izungumzia hapo☝ na utaelewa nilikuwa na maanisha nini.9: *Use task Killer Manager*

  Hapa tumia app ambazo zitakusaidia kuvunja background process za apps ambazo hufanya kazi wakati wewe umeshatoka katika hiyo app hivo kwa kutumia Task killer Manager utaweza ku solve tatizo hilo ambapo kasi ya utendaji itaongezeka katika Device yako na pia hizi task killer husaidia utunzaji wa betry ya simu yako .


10: *Restart your Android Device*


Pale simu yako inapokuwa nzito pindi ukiitumia unaweza kutumia njia hii☝ kusuluhisha hilo tatizo kwa mda huo kwani kwa kufanya hivo itasaidia kuifanya simu kuwa Nyepesi unapo itumia kwa mda huo maan utakuwa umekatisha zile background process ambazo zilikuwa zina ielemea simu yako wakati unaitumia


*Asanten kwa kusoma makala hii*
    kwa maujanja mengine kama haya Support yako mhimu pia  Endelea  kuwa nasi katika blog hii fata taratibu zake ili upate kujua mambo ambayo ulikuwa huyajui.

Smatskills pamoja tunaweza