Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.11.17

Marekebisho kwenye GB WhatsApp


Watengenezaji wa apps za GB mods kama GB WhatsApp,GB WhatsApp3, WhatsApp plus na GB Instagram wametoa masasisho ya apps zao baada ya kuonekana kuna kasoro baada ya ku Update.
Kasoro hiyo ilionekana tu baada ya kufanya sasisho na kupata toleo la 6.00 ilionekana bado ikidai tena na tena, baada ya SmatSkills kufanya mazungumzo waliweza kutoa muongozo na kufanya rekebisho hilo na sasa kila mtu anaweza kusasisha upya.
Tumekuwekea hapa>

hii iko vizuri sana haina tatizo.
 GB mods pamoja na SmatSkills  tuomba radhi kwa usumbufu huo.
Una maoni unaweza kutuandikia kwenye comment chini hapo na utasaidiwa haraka iwezekanvyo