Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

27.11.17

KATI YA EDJING MIX Vs DJ STUDIO IPI NI BORA SOMA HAPA

Habari gani wapenzi wa smatskills,                                             leo tumewaleteeni Uchambuzi wa kina juu ya Apps mbili bora katika kufanyia music mixing au tuseme Dj mix kwa wale wapenzi wa kufanya Mixer kupitia simu yako ya mkononi(smartphone).

 LEO TUTAANGAZIA NI APP GANI NZURI KUFANYIA MUSIC MIXER KATIKA SIMU YAKO YA MKONONI (smartphone). 

 °°APPS HIZO BASI ZIMEKUWA NA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA WATUMIAJI /WAPENZI KUONGEZEKA KILA SIKU .

Apps hizo ni:

1:EDJING MIX
2:DJ STUDIOZote hizo ni application ambazo zinahusu masuala ya kufanya Mixing DJ.
          ipi ni App bora???  Twende tukaangalie zaidi.

Kwanza kabisa tuanze na

            [EDJING MIX]

VITU AMBAVYO VIMO NDANI :

 kuna FX Hizo hapo chini. 

>Echo
>Flanger
>Loop
>Reverse
>Hot cue
>Steel
>Roll
>Filter
>Beat grid
>Color noise
>Double beat
>Phaser
>Roll filter
>Gate
>Band pass
>Band stop
>Reverb

EDJING ESSENTIAL:

  SAMPLER> Hapa zipo mbili kuna FREE Naya Kulipia. 

SAMPLER ZIFUATAZO ZINAPATIKANA KATIKA APP HII KWA BURE KABISA
                                                                                                EDJING MIX FREE SAMPLER :
>Fire alarm
>Air horn 
>Hit hat
>Kick, snare
>Riser, lazer
>Bass. 


SAMPLER ZINAZOUZWA NDANI YA APP:

                              >RNB
       >TECHNO
>DUBSTEP
      >DOWNSWEEP
        >TRAP
      >TRANCE
                       >RISER FX
>FALL FX
>HIP-HOP
Zipo nyingi sana Utajionea mwenyewe.

Vile vile app hii ni nyepesi na inaingia katika Android device version zote(Matoleo yote ya smartsphone) .

SKIN /MUONEKANO:

            >Gold skin (Inauzwa)


   
            >Green skin (inauzwa)
         

            >Black &white(zinauzwa)


AUTO MIX na SYNC vyote vimo ndani ya app hii.
 Na mengine mengi yamo ambayo yatakupendeza zaidi.

JINSI YA KUPATA SAMPLER, SKIN na ESSENTIAL (FULL PACK) zinazouzwa ndani ya app kwa bure kabisa bila Kuumiza kichwa.
                                  Tazama hapa

   TUANGALIE NA KWA UPANDE WA DJ STUDIO
VITU VILIVYOMO NDANI YA APP HII.

[DJ STUDIO] 

App hii ina^^
>>>FX
>> BIT-CRUSHER
>>FLANGER
>>3D
BRAKE
PHASER
>>>>FLIPPING DOUBLE 
>>>GATE
REVERB

MUONEKANO/SKINS:

>CDJ-skin(inauzwa)

>Bling-bling-skin(inauzwa)

>Paper skin(inauzwa)

>Neon-skin(inauzwa)


>Vintage analog skin.(inauzwa)
               

>V-DJ SKIN (inauzwa)
Pia Auto-mix na SNYC vipo ndani ya app hii. 

Hivyo tu ndio vinavopatikana katika app ya Dj studio. 
JINSI YA KUPATA VITU VYOTE VINAVYOUZWA KATIKA APP HIYO FANYA KAMA EDJING MIX NJIA NI ILE ILE TU HAINA KASORO 
KAMA HUJAONA KWENYE EDJING MIX ANGALIA HAPA KWA KUBOFYA HAYA MAANDISHI

BASI KWA KUONA HAPO UTAKUWA UMEWEZA KUITAMBUA NI APP GANI NZURI KATIKA KUFANYIA MASUALA YA MIXING KATIKA SIMU YAKO. 


TUFATILIE KATIKA/FOLLOW US ON:

    YouTube Channel 1>HEZRON KIHIYO
               YouTube Channel 2>HIGH TECH                               

Smatskills©2017