Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

11.11.17

JINSI YA KUROOT NA KUWEKA TWRP RECOVERY KWA TECNO CX

Katika simu za Tecno  zilizouzika mwaka huu basi CX  inaweza kuongoza,pamoja na kuuzika kwake lakini changamoto kwa watu imekuwa kuroot hizi simu. Basi ondoa shaka ukiwa na Smatskills
Kwanza kabisa hakikisha ume unlock bootloader,kumbuka njia ya kufungua bootloader ni kama ile ya Tecno zote tu. Kwahiyo unaweza kusoma kwanza.

SOMA PIA:- unlock bootloader kwenye simu za Tecno
      MAHITAJI
  • VCOM Drivers 
         •komputa yenye adb na fastboot hii hapa
                                           👇


Baada ya kufanya hivyo hakikisha umeokoa(backup) data zote na ina chaji zaidi ya 70%,baada ya kufanya hivyo unganisha simu yako na kompyuta kupitia USB kebo,fungua adb and fastboot,hapo chukua TWRP kachanganye na adb and fastboot.exe kisha twende kwenye code sasa.
Piga:- adb and fastboot device piga inter(build number)nambari ya ujenzi itaonekana kwenye kompyuta.
Piga:-  fastboot boot recovery.img(simu yako itawaka kwenye recovery).

Soma pia:- BADILI KASI YA MTANDAO WAKO KUTOKA 3G-4G.

Hapo utaona chaguzi mbalimbali kama kubackup,install n.k.
Kama TWRP itauliza unataka kuroot jibu No(hapana)
Ukitoka hapo nenda Install menda ka install ile zip ya Super SU na hapo una telezesha kushoto kwenda kulia na Super US itakua imeingia kwenye simu yako.
Boot kwenye system na uwashe simu yako hapo ipo tayari ni rooted.
Kwa uhakika zaidi pakua root checker.

Tuandikie maoni yako kwenye comment kama kuna tatizo na utasaidiwa.

Endelea kuwa karibu na blog yetu kwa ujuzi zaidi.