Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

29.11.17

JINSI YA KUROOT NA KUWEKA TWRP kwenye Infinix Hot 5 X559c

Hili ni toleo la kisasa la Infinix likiwa na Android 7.0,simu hii ina sifa nyingi sana, Inakaa na chaji ina kioo kikubwa n.k

                      Unlock bootloader kwenye simu za Tecno

Hapa lazima uwe na Kompyuta ili kutimiza kazi hii.

  MAHITAJI:

  1. Kompyuta
  2. Vcom drivers
  3. TWRP ya x559c
  4. Sp Flash tools
  5. Super SU


 Twende pamoja kwa makini,najua kama ni moitia wa blog yetu lazma utakua na flash tools,hapa tunakupa recovery na super SU tu.
Pakua Super SU kisha iweke kwenye internal memory nje ya folda.
Pakua recovery hapa TWRP X559C

Ipo katika mfumo wa rar,tumia rar au zarchiver kufungua faili lako,ndani yako kuna file mbili.

Recovery
MT6580_Android_EMMC_scatter.

Fungua sp flash tools kisha load lile file lako scatter kuja kwenye sp, kisha bonyeza download kwenye sp,baada ya hapo zima simu yako unganisha na usb waya kisha itaload na utaona tik kubwa kwenye pc yako,hapo tayari umeweka recovery.(hapo bado hujaroot)
Muonekano wa sp flash tools baada ya mafanikio


WAKATI WA KUROOT SASA

baada kumaliza hatua ya kwanza usiwashe simu yako,bali shikilia buton ya kuwasha na ya kuongeza sauti kwa pamoja kwa sekunde kama 20 (itakua kama inataka kuwaka,ikifanya mara ya 3 unaachia mara1)
Hapo simu itajiwasha kwenye recovery mode,hapo utaflash ile zip yako ya super SU ukiona Installation successful, clear catch kwa kutelezesha kulia,baada ya hapo boot into system na utaona hivi.
Simu itakuuliza "your device does not appear to be rooted, Install super SU now??
Ukiona maneno hayo kataa kwa kubonyeza DO NOT INSTALL sababu tayari usharoot.[USI SWIPE TO INSTALL]. mpaka hapo umemaliza kazi yako.


Una swali lolote tuandikie kwenye coment chini kama umeshindwa kuroot pia unaweza kuja kwenye kundi letu Telegram SmatSkills

Tupo kwenye mitandao yote ya kijamii kwa @smatskills, unaweza kutufollow kwa kubonyeza icons za mitandao husika juu hapo.
Asante sana kwa ufuatiliaji wako unaweza pia kushiriki na ndugu yako akafaidi pia.