Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

12.11.17

JINSI YA KUPATA CALLS, SMS, NA MATUKIO YOTE YANAYOENDELEA KWENYE SIMU ULIYOISAHAU NYUMBANI, OFISINI n.k

Kumekuwa na mtazamo na mawazo tofauti pale mtu akisahau simu yake ya mkononi nyumbani,ofisini, dukani na sehemu zinginezo.

Kikubwa ambacho mtu huwaga anahofia ni hasa kwa watu ambao watamtafuta au kuwasiliana
naye.


Hivo basi leo SMARTSKILLS tumekuletea tutorial hii jinsi gan ya kupata CALLS,SMS, NA VITU VINGINEVYO kwenye simu uliyohisahau sehemu iwe nyumban, offisini, shuleni,dukani, au kuibiwa (endapo ukitaka kupata contacts zako za kwenye line) n.k ili kufahamu zaidi nini cha kufanya fuatana nami.

MAHITAJI
1) simu yako
Note.
Hapa tutaenda kuangalia simu utakayo poteza na simu ambayo utakuwa nayo kipindi utakapo poteza SIMU MOJA.

2. Application itakayotumika  DOWNLOAD HAPA (PREMIUM APK)

Baada ya kufanya hivo angalia video hii kwa makini mwanzo hadi mwisho kila hatua ukikubwa na tatizo usisite kutujuza.