Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

5.11.17

JINSI YA KUNASA MAONGEZI YA SIMU YA MPENZI WAKO BILA YEYE KUJUA

Ni siku nyingine tena, inatupasa kumshukuru mungu kwa kuzidi kutuweka wazima na wenye afya!! Habari za saizi android users.??

Leo tutaenda jifunza au kuongelea na kuangalia uwezokano wa kutrack simu ya mtu bila yeye
kujua kwa njia nyepesi tu haitaaji elimu ila itakuhitaji wewe na simu yako pia na uelewa wako.

Hivyo basi kwa kuanza naomba mkumbuke SOMO hili lipo kwa lengo la kujifunza sitohusika na ugomvi, marumbano yoyote utakayokumbana nayo, tupo hapa kujifunza.


Hatua ya kwanza kabisa unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo ;

MAHITAJI
1. Simu yako (smartphone)
2. Simu ya mpenzi, rafiki,au ndugu yako unayetaka kumtrack. Uwe nayo kwa dakika 2 tu znatosha kufanya settings zote.

3. System recorder Download     HAPA


Baaada ya hapo twende tukaaaangalia sifa za hii system recorder.

Zifuatazo ni sifa za hii software au application.

1. Ni rahisi kutumia kwasababu inasupport simu zaidi ya moja.

2. Ni free haitaki kulipia, utatumia kipindi chote cha maisha yako.

3. Iko faster na secure na itarecord call zote znazoingia na kutoka kwenye simu yako.

4. Inaonesha mda na namba uliopigia au kukupiga katika aimu yako.

5. Pia inahusiana na gmail yako kwana kwamba endapo ukiiipress GET CALL RECORDS utapewa ujumbe kwenye email yako kwamba call zote zmeuploadiwa kwa usahihi na kukamilika.

HASARA ZAKE ZA HII APPLICATION
1. Haifanyi kazi kwa baadhi ya china mobiles
2. Inategemea mobile data ku upload file kutoka kwenye simu husika. Hivo bhac kama mlengwa akiwa kwenye network mbovu hutopata files kwa wakat pamoja hawezi kuzifungua wala kuziona znawekwa kwenye system na pindi zikiuploadiwa znafutwa kwenye dwvice ya mtu uliyemtrack.


Baada ya kusema hayo kwenye jinsi ya kutumia hii app na settings zote znahitajika na maelekezo ya kutosha fuatana nami kwenye hii video hapa chini 👇 👇 👇

Endapo ukikubwa na tatizo tujuze kupitia comments na online chat hapo chini

@ahsante

@smatskills 2017