Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.11.17

JINSI YA KUINSTALL FAKE ROOT

hakuna kitu ambacho kinakosesha raha kam kukikosa kitu fulani katika simu yako. Katika hali ya kawaida kumekuwa na utofauti kati ya simu iliyorootiwa na simu ambayo haijarootiwa .
Hutofauti upo kwenye matumizi kwana kwamba anayetumia simu ambayo imerootiwa anaenjoy sana kuliko yule ambaye hajaroot simu.

NINI MANA YA KUROOT SIMU?
kuroot simu ni kitendo kinachofanywa na mtu ili kufungua geti kubwa la uendeshaji wa program hivyo utakuruhusu kufanya mambo mengi zaidi katika program endeshaji ya simu yako.

hivyo bhac kumekuwa na utofauti mkubwa kati ya aliyeroot na ambaye hajaroot hasa kwenye matuimizi ya uendeshaji wa programu za simu mfano App ya SCR PRO hii application inahitaji rooted phone kwa maana wale walioroot ndo wataeza kuitumia lakn ambaye hajaroot hatoweza kuitumia hiii app.swali- naweza kutumia application zinazohitaji root bila kuroot simu yangu?
JIBU. NDIYOOOOOOOOOO ......................BAKI NAMIII.

Sasaa leo nitaenda kuwaonesha jinsi ya kuinstall fake root kwenye unrooted device na kutumia application znazohitaji root bila kuroot android yako.

       MAHITAJI
1. simu ambayo haijarootiwa

2 fake root app DOWNLOAD HAPA (NEW)

baada ya kuinstall fuatana nami kwenye video hii iliuone hatua muhimu za kufuata.