Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.11.17

JINSI YA KUFICHA DATA NA MAFAILI YAKO MTANDAONI [BACKUP]


Kitendo cha kuficha au kuhifadhi data na faili zingine mtandaoni huitwa backup,data hizo zinakaa wapi?? kitaalamu huitwa clouds storage.
 Kwanini ni lazima ufiche vitu vyako mtandaoni?? Ni muhimu sababu huwezi jua kitakachotokea kwenye simu yako, unaweza kuibiwa kupoteza au hata kuharibika kabisa na kushindwa kupata vitu vyako muhimu,sasa kupitia hizi huduma hutaoiteza vitu vyako na vitabakia kuwa salama.
 Mojawapo wa watoa huduma hizi ni kama.
Huu ni mtiririko wa watoa huduma pamoja na ujazo wanaotoa bure

  • Drive 15GB (ukiwa na gmail account tu tayari unayo)
  • MEGA 50 GB
  • MediaFire 50 GB
  • Dropbox 5 GB
  • iCloud. !!?? (kwa apple) n.k
Soma pia:- DOWNLOAD NA UJIFUNZE KUPROTECT KOMPYUTA YAKO NA ESET ANTIVIRUS FULL PACKAGE WITH KEYS AND EXE

Zipo nyingi sana lakini hizo ni maarufu zaidi.
Cha kufanya chagua huduma upendayo hapo kama ni Google Drive huna haja ya kufungua akaunti,ukiwa na gmail akaunti tayari wewe ni kupajua tu na kuanza kupakia data zako kama

  1. Picha
  2. Apps
  3. Documents
  4. Muziki
  5. Video.

Vivyo hivyo katika huduma zingine,kama utapenda media fire fungua akaunti na uanze kufanya kama hivyo.
Unaweza kuangalia video hii kwa muongozo zaidi na jinsi ya kufanya hivyo


CHAGUO LA MHARIRI:

MediaFire ni rahisi na nzuri kushiriki faili na mtu,kwani inamuonyesha ilo faili limepakuliwa na watu wangapi na unaweza kutia alama viungo (links)hata 10 na kushiriki kama kiungo kimoja.

Soma pia:JINSI YA KUONGEZA SPEED YA CHROME BROWSER YAKO YA SIMU

Kama hujaelewa unaweza kutupa maoni yako hapo kwenye comment na utasaidiwa iwezekanavyo,kama una telegram unaweza kujiunga nasi kupitia smatskills