Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

11.11.17

JINSI YA KUFANYA ILI USB FLASH YAKO IWE BOOTABLE NA KUITUMIA KUPIGA WINDOWS KWENYE COMPYUTER YAKO

Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya hili jambo, inakuaje mtumiaji wa computer kuinstall windows kwa kutumia USB FLASH DISK.

Hivo bhasi leo bila kupoteza mda tutaenda jifunza sote inakuaje na unatakiwa kufanya nini.
Na kwa kawaida kuna njia nyingi sana ambazo hutumika ili kukamilisha installation ya windows kwa kutumia usb flash, nazo ni

1. CMD (command prompt) ya Computer yako
2. Kwa kutumia software mfano bootable,  ruffin, universal installer n.k

Kupitia njia hizo hapo juu zote ni bora ila leo tutajifunza moja ambayo hutumika kwa kila aina ya windows

Inaitwa UNIVERSAL USB INSTALLER.


Download software hii
                           
  [ PC VERSION 1.7 MB] 

Baada ya kuinstall iweke kwenye computer yako kisha irun as administrator (hakikisha una run AS ADMINISTRATOR)

NOTE. Hakikisha flash imechomekwa kwenye pc na iwe umeiformat

1. Itafunguka kama hivi 👇 👇


2. Utabonyeza I AGREE kisha itakuja kama kama hivi 👇 👇 👇 👇 

Itakuja kama hapo juu cha kwanza  kisha utachagua aina ya windows ambayo unataka uipige kwenye pc yako kupitia USB flash yako.
Note.  Hii process yote make sure umeformat flash na iwe imechomekwa kwenye pc. 

Baada ya kusema hivo ukibonyeza itakuja kama ivi. 


Baada ya kufanya hivo utabonyeza BROWSE computer itakuambia tafuta iso file ya hio windows kisha utaiselect na ku open,  na baada ya hapo utaweka option ya kuformat na kuselect disk ( usb disc)  kisha bonyeza CREATE 

Hapo itachukua dakika kama 10 au 7 kumaliza na ikimaliza utaona ujumbe huu hapa 👇 

SOMA PIA NJIA KUMI ZA KUONGEZA PERFORMANCE YA DEVICE YAKO HAPA

Baada ya hapo utabonyeza close kisha utaendele kuboot na kuinstall windows kama kawaida. 

Sasa ukija kwenye kuboot mfano dell ukirestart utabonyeza F12 na itakuletea boot option ukifika hapo chagua USB BOOTING mfano ukitumia san disk flash utakuta imeandikwa SANDISK USB BOOT

 hivo boot option itakuwa kama hivi 👇 👇 Utachagua option ya USB kisha pres ENTER


Baada ya hapo utaendelea  kama kawaida. 

Hapo utakuwa umefanikiwa kuweka flash yako bootable. 
Endapo ukikumbwa na Tatzo naomba tujuze 
@smatskills 2017 
ALL RIGHTS RESERVED