Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

5.11.17

JINSI YA KUFANYA GROUP LAKO LIWE SUPER GROUP

Hapa nalenga wale watumiaji wa Telegram,wengi wanaoijua hii app basi washanipata,ni huduma inayokuja kwa kasi sana hata baadhi ya watumiaji wa mitandao mingine washaona kama kimbilio lao.
Kwanini?? Ukiwa na kundi unaweza kuingiza hata wanachama zaidi ya 5000.

 SOMA PIA:- Telegram vs WhatsApp ipi bora


Mbali na kuwa na kundi kwenye Telegram kuna mambo ambayo lazima uyaweke sawa ili kutosheleza mahitaji ya kila mwanachama, kubadili group kuwa super group,kuna faida gani??


  • Kwanza hapa utaweza kuingiza wanachama zaidi kutoka 200 hadi 5000
  • Utafanya kila mwanachama mpya kuona na kujua mijadala ya mwanzo toka kundi lianzishwe
  • Utaepuka kurudia kutuma media ambayo ishatumwa toka mwanzo kwa huduma hiyo utaweza kuitafuta na kuipata kiurahisi.
SOMA PIA:-Download nyimbo, video na apps kwa Telegram

Asante kwa kuwa karibu na blog yetu, endelea kuwepo ili uendelee kufaidika na mengi zaidi,pia unaweza kujiunga na group letu Telegram SmatSkills kwa mijadala zaidi