Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.11.17

Jinsi ya kubadilisha muonekano wa Instagram


Huu ni mtindo mpya kabisa ukikuja kwa ajili ya watu wajanja wanaopenda vitu vizuri.
 Uwezo huu huwezi kupata popote bali ni GBinstagram pekee,kiaje twende pamoja.

Soma pia: DOWNLOAD MUONEKANO WA GALAXY S8 KWENYE SIMU ZA HUAWEI NA HONOR [EMUI 3.1,4.1]

MAHITAJI MUHIMU:


  1. OsmThemes
  2. GBinstagram
  3. Rar


 OsmTheme hii ni kama stoo ya themes mbali mbali za GBMODs yani GBWhatsApp YoWhatsApp na GBinstagram,hii app ni muhimu sana kwani humo utaweza kupakua.
 Baada ya kupakua theme yako itakua katika mfumo wa zip au rar,tumia app ya rar kufungua hiyo theme itakua kwa muundo wa xml baada ya kuifungua toka nje nenda kwenye instagram/profile/settings/more/loading nenda kule uliko fungulia ile theme kisha utaona xml yako ibonyeze apply hapo umemaliza kazi.
Kama bado hujaelewa vizuri unaweza kuangalia hii video hapa pia.

Soma pia: HACK DREAM LEAGUE SOCCER 2018Usisahau kushiriki na ndugu zako nao wafaidi ujuzi kama huu, unaweza pia kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii.
Unaweza pia kujiunga na kundi letu la Telegram SmatSkills kwa Maujanja zaidi