Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

8.11.17

ILAZIMISHE SIMU YA MPENZI WAKO IKUPIGIE HATA KAMA YEYE HATAKI .....

Hakika ni mzima wewe msomaji na mpitiaji wa blog yetu , smatskills . Leo tumewaletea kitu kimoja kizuri ambacho utafurahia na kukipenda , hivo bhasi leo tutaenda kuongelea jinsi gani utailazimisha simu ya mpenzi wako ikupigie au kufanya kitu chochote kupitia simu yako ya mkononi.


NOTE.
Lengo letu sio kugombanisha ndoa , mahusiano au ukaribu wa watu, lengo letu ni kuelimishana hususani kwenye matumizi ya vifaa mbalimbali vya mawasiliano.

hivyo basi bila kupoteza mda TUANZE SOMO LETU...........


MAHITAJI.
1. Simu yako ya mkononi.(simu yoyote)
2. Simu ya mpenzi,rafiki,ndugu au mtu yoyote wa karibu kwako unayetaka kumcontrol simu yake.
   note lazima iwe smartphone.
3. Application itakayo tumika


Baada ya hapo fuatana nami kwenye video hii hapa chini kujifunza jinsi ya kuiset na kuitumia ili uweze kutimiza lengo la somo letu la leo.