Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

25.11.17

IFAHAMU HACKING (UDUKUZI) NA WAHUSIKA WAKE WAKUU.KARIBU TENA MPENZI WETU WA SMATSKILLS katika blog yako uipendayo.
            leo smatskills imewaletea wapenzi wake Uchambuzi wa kina kuhusu jambo ambalo wengi hupendi kulifahamu zaidi ila tu wamekosa sehemu nzuri kuweza kulielewa jambo hilo vizuri JAMBO LENYEWE NI KUHUSU SUALA ZIMA LA UDUKUZI /HACKING.


HACKING/UDUKUZI ni nini ?

 Ni kitendo cha kubadilisha vipengele vya mifumo iliyopo katika kitu husika!  kwaajili ya kufanikisha lengo flani kutoka kwa watengenezaji wa kitu kile halisia.

    Mtu aliyejiingiza katika suala La Udukuzi na kuifanya hacking kuwa ni sehemu mojawapo ya maisha  yake huyo huitwa HACKER (MDUKUAJI).

 UC BROWSER YALEJEA KWENYE SOKO WAJA NA NINI SOMA HAPA>UC BROWSER YARUDISHWA PLAY STORE

ZIPO AINA MBALI MBALI ZA KUFANYA UDUKUZI (Hacking)

>Computer hacking
Huu ni mfumo maarufu zaidi kwa Siku za sasa Especial katika suala zima la Computer security. Vile vile hacking ipo katika sehemu mbali mbali mfano.
 >Phone Hacking,Brain hacking N.k
Nasio kikomo kwa hizo tu Bali zipo nyingi mno.

Kwa ujumla kitendo cha kufanya udukuzi Mara nyingi ni Makosa ya jinai, Kwa kitu chochote kinacho husiana na suala zima LA ulinzi [Security] Ni makosa ukikamatwa unaweza kuhukumiwa kama Mtuhumiwa wa kimtandao [cyber crime]…

 >Kwa bahati mbaya zaidi baadhi ya hackers (wadukuzi) ndio wanaohusika na kuweka program katika baadhi ya vifaa hivo ikiwemo vya mawasiliano kwahiyo wanajua ni jinsi gani ya kufanya ili wa Attack jambo katika masuala yao.

   PIA WADUKUZI WAME GAWANYIKA KATIKA SEHEMU KUU TATU.
             TUANGALIE AINA HIZO

Kuna Aina tatu za Wadukuzi Ambao ni^^
1:White hat Hackers
2:Black hat Hackers
3:Gray hat Hackers

PIA SOMA HAPA MPYA KUHUSU GBINSTAGRAM:GBINSTAGRAM NEW UPDATES

  Hawa wote ni hackers(wadukuzi) isipokuwa wanapishana katika utendaji wao wa suala zima LA hacking/udukuzi.

   TUANGALIE MMOJA BAADA YA MWINGINE.

1:~WHITE HAT HACKER

Huyu ni Aina ya hacker ambaye Mara nyingi anatumia mda wake katika computer kutafta documents za Masuala ya  ki [IT SECURITY] katika dunia au tunaweza kusema anajihusisha na masuala ya CYBER CRIME- SECURITY /CRIMINAL CONSPIRATION Na kujiingizia Fedha kutoka kila pande ya Dunia Akiwa yeye kama yeye.

           Hata katika movie ya MATRIX movie hii ilikuwa inahusu masuala ya kidukuzi ambayo nibkweli kabisa ila uhalisia wa kidukuzi ulibadilishwa ukawa [ Bit ]yaan (Lijamu) Ambayo haina maana.


2:~BLACK HAT HACKER
     
Mdukuzi huyu ni Aina ya hacker ambaye Anahusika na kuvunja system za computer au kifaa chochote  kwanjia zaki Malicious Program au kwajina lingine unaweza kusema ni [DARK SIDE]  
  mvunjaji wa mifumo/system. 

Na mmoja baadhi ya black hat hacker maarufu anaitwa KELVIN MITNICK Ambaye ametumia ujuzi wake kuingia katika mashirika ya  [computers of organizations ] kama vile NOKIA, MOTOROLA, FUJISTU NA SUN MICROSYSTEM.
 Pia Kelvin mitnick Aliwahi Ku control Njia zote line za simu zikawa zinapitia kwake huko [LOS ANGELES MAREKANI] .
    Ila kwasasa Kelvin mitnick anajiita ~WHITE HACKER~..
      pia Black hat hackers wamegawanyika katika makundi saba..

                         
JIUNGE NA GROUP LETU TELEGRAM:SMATSKILLS GROUP

1:[script kiddie] >Hawa hawajali Sana katika hacking wao wanachokifanya ni Ku copy code na kuweka katika virus au katika kitu kingine tu, pia hawa hawewezi kuhack kitu wao wana download baadhi ya program ambazo zimetumiwa na hackers kisha wanazifanyia mambo yao wenyewe pia waweza kuwaita [GREEN HATS] …

2:[White hat] au unaweza waita [Ethical hackers] Hawa huhusika zaidi na kusaidia kutoa mashambulio /bugs yaliotumwa katika makampuni hao ni hackers wazuri.


3:[Black hat] pia wanajulikana kama crackers  Hawa ni wanawake kwa wanaume Ambao unawasikiaga habari zao hawa kazi yao haswa ni kutafuta Makampuni au banks ambapo wanauwa nguvu ya ulinzi na kuiba pesa au kubadili maelezo ya kadi za kibenki na miamala/credit card.4:[Gray hat] Hawa sio black hackers wala white hackers na wala hawasaidii kitu pia hawaibi pesa au maelezo japokuwa mda mwingine wana deface website [sawa na kufuta] ila kiukweli ni Dunia ya hacking.

5:[Green hat]Ni script kiddie hapo kwa upande mwingine wanakuwa sio tena script kiddie kutoka na mambo wanayo ya fanya.

6:[Red hat] Hawa ni hackers ambao wana wakubaliana na white hackers ila tena wanawakubali black hackers au twaweza kuwaita [Washika mbili]  wao hutumia njia zote mbili za white hat hackers NA Black hat hackers ili kukamilisha mipango yao

7:[Blue hat] Huyu blue hat hupatikana pale tu sript kiddie anapotatua tatizo ndo huitwa blue hat.


FOLLOW SMATSKILLS KATIKA MITANDAO YA KIJAMII BOFYA LINK KUTU FOLLOW:
       INSTAGRAM, FACEBOOK, TWITTER

3:~GRAY HAT HACKER
Huyu ni mdukuzi/hacker Ambaye Yupo katika concept/Maana hizi mbili

1:Anatumia ujuzi wake kufanya vitu vinavoendana na sheria [LEGAL Acts]

2:Anatumia ujuzi wake kufanya vitu visivyoendana kisheria [ILLEGAL Acts]
 
Gray hacker huyu yeye hutumia ujuzi wake kufanya vitu vyake yeye mwenyewe kwa kuangalia je amefanikiwa kiasi gani katika uwezo wake Nasio kufanya hivo katika kujipatia kipato.

Kwa mfano anaweza kuhack computer Network system ya [public agency] kwa lugha ya kitaalamu Tunaita [N.O.A.A].

   Hizo ndio aina za wadukuzi zilivyo.Ulisha wahi kujiuliza kwann watu wana HACK/kufanya udukuzi???

BASI HAYA NDO MAJIBU MEPESI TU.

1:Mtu anafanya HACKING ili ajiingizie kipato

2:Mtu anafanya HACKING ili aonyeshe uwezo wake kwa marafiki zake au jamaa zake.

Hizo ndo sababu kuu kwanini mtu anafanya HACKING..


 WADUKUZI HATARI HAPA DUNIANI.

1:JACOB APPELBAUM
2:RAKSHIT TANDON
3:ERICK CORLEY
4:GARY McKINNON
5:RAFAEL NUNEZ

ENDELEA KUWA NASI HAPA HAPA HIVI KARIBUNI TUTAWALETEA ORODHA KAMILI YA WADUKUZI WOTE NA SIFA ZAO.

smatskills ©2017