Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.11.17

HUAWEI WAJA KIVINGINE NA SIMU 2 KALI ZENYE SOFTWARE YA APPLE NA MICROSOFT

Habari za saizi ndugu zangu na wafuatialiaji wa blog na sites zetu zote za social media . Leo tutaenda ongelea simu mbili ambazo huawei wameamua kutuletea kwenye soko la smartphones HAPA NAONGELEA HUAWEI GR3 2017 & GR5-GR7.


Hizi ni smartphone ambazo huawei wamejaribu kudesign materials na muonekano wa iphone kwenye mfumo endeshaji wao wa kisasa yan ANDROID 7 .

ILA leo tutaenda kuiangalia huawei GR3 2017

SIFA ZA HUAWEI GR3 2017Na kwakuwa simu hii imetengenezwa kwa muundo wa majumuisho ya product mbili yani APPLE NA MICROSOFT , simu hiii badala ya kuwepo apple id wameweka HUAWEI ID

. INATUMIA line mbili

Muonekano ni EMOTION UI V5. O

ili kuona muonekano wa ndan na wa nje angalia video hii hapa (kwa maelezo ya kutosha)