Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.11.17

HABARI NJEMA KWA WASOMAJI NA WAPENZI WA SMATSKILLS

Habari za leo wapendwa Na wafuatiliaji wa blog hii ya smatskills Nimatumaini yetu hamjambo jambo la kushukuru.

Leo smatskills imewasogezea watembeleaji/wasomaji wake huduma Karibu kwa njia rahisi kabisa Tumefungua social media ambazo Zitakusaidia wewe msomaji wetu kutupata kwa njia Rahisi sasa unaweza kutu follow katika Social media hizo.Ambazo ni Instagram, facebook Na Twitter.

Hii Ni kwa sababu ya watu wengi wameomba wafahamishwe jinsi gani wanaweza kupata taarifa au kujulishwa pindi tu Post mpya inapotoka hapa katika blog yetu Ili iwasaidie wao kuwa karibu nasi.

Ningependa kuchukua nafasi hii mpendwa kukuomba kuwa tufate katika Social Media zetu hizo ili kuwa wa kwanza kusoma makala na post kali toka hapa katika blog yetu ya Smatskills pindi tu itokapo na uwe miongoni mwa wanafamilia kubwa ya smatskills Tanzania.

Haya Gusa icon hizo kwenda direct katika Social media zetu.
                                        


                                                                                                                                                       SASA UNAWEZA KUTUPATA KATIKA SOCIAL MEDIA ZETU NA HAPO TUTAKUWA TUKIKUJUZA POST MPYA NA KALI KUTOKA KATIKA BLOG YETU. 
WAALIKE RAFIKI/NDUGU AU JAMAA ZAKO   NAO WAJE KATIKA ULIMWENGU WA TECHNOLOGY KUTOKA SMATSKILLS TANZANIA. 
Asanten sana.