Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

12.11.17

Download keyboard ya iOS

Hakuna mtu asiyependa muonekano wa ndani wa iPhones,japo wengi wanapenda simu za android lakini wanatamani simu zao ziwe na UI(user interface) za iPhone,sema tu kwa vile haina uhuru wa matumizi kama Android

Kati vitu vyenye mvuto ni kama 

  1. icons 
  2. Status bar
  3. Animation 
  4. Kicharazio(Keyboard)
  5. Apps n.k
 Humu kwenye blog yetu ipo keyboard ya ios lakini haina muonekano wenyewe.
Leo nimekusogezea kwako kicharazio chao ambazo utaweza kutumia kwenye simu yako ya android na kuonekana kama iphone,hii app ina muonekano ule ule wa iphone kwanzia font mpaka mandhari yake ambayo inakuja na nyeupe na nyeusi. Unaweza kuipakua.

Soma pia:- Wafanya Biashara Tumieni Currency app kujua thamani ya pesa

Nungependa kusikia kitu toka kwako msomaji wa blog yetu,je umependa hichi kicharazio?? utanijibu kwenye comment chini hapo.
Unaweza kujiunga na kundi letu Telegram SmatSkills kwa mijadala na mengine zaidi