Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.11.17

Download GB Instagram v1.20

Imekuja kivingine kabisa na si ya kukosa kutumia kama unapenda vitu vizuri.
NINI KIPYA!?
  Hii imeongezwa vitu vingi sana ila kubwa zaidi ni mionekano tofauti (themes) ukiwa na GBinsta furahia mambo mengine kama:
  • Kupakua chapisho(post)
  • Kushiriki viungo(share links)
  • Kupost link na mambo mengine mengi
  • Kubadili muonekano (themes)
  • Kukuza(zoom) picha n.k
Muonekano wa rangi mbalimbali za GBinsta

             
GB Instagram V1.20
             


Hizi themes za GBmods zimepatikana kwa muda sana,sema wamezindua app yao hivi majuzi kwa ajili ya kutoa huduma za themes mbalimbali na tofauti tofauti ikiwemo ya GBinstagram.
Kama unapenda unaweza kuipakua hapa OsmThemes

Endelea kuwa karibu na blog yetu ufurahie mambo mazuri kama haya.


Unaweza kujiunga na kundi letu telegram smatskills