Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

10.11.17

CHEZA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2017 NA MWENZIO KWA KUUNGANISHA WI-FIHabari wapenzi na wafuatiliaji wa blog yetu ya smatskills,Basi leo smatskills inakuletea mbinu Ambayo Itakuwezesha wewe kuweza kucheza Dream league soccer kwa kitumia Wi-Fi connection. 

Hii ni Kwa wapenzi wote wa game la Dream league soccer 2017 Mbinu Ambayo itakuwezesha wewe kucheza Game hilo na mwenzio Na maanisha [mkashindana] kupitia simu zenu hizo.

  PIA SOMA HAPA>>    JINSI YA KUFANYA GROUP LAKO LIWE SUPER GROUP

  Jinsi ya kufanya mbinu hiyo ya kuwezesha muunganiko huo.., Kama unavofahamu game hilo limewekewa uwezo huo ila watu wengi sana imekuwa ikiwapa shida kwani wanapojaribu kufanya muunganiko haikubali kwani hawajajua chanzo ni nini hasa.

Katika game hilo la dream league soccer wameweka options ya local Wi-Fi Ambayo hiyo ndiyo itakayokufanya wewe na mwenzio muweze kutengeneza Mchezo, Lakini ukifata hatua za kuunganisha muunganiko huo unaleta shida kwani huwezi Unganisha Wi-Fi kwa Wi-Fi...,
Na hio ndio sababu game hilo limekuwa likileta shida sana kwa upande huo.FATA HATUA HIZI KWA USAHIHI ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILO. 


1:CHUKUA SIMU YAKO NA WASHA WI-FI
2:CHUKUA SIMU YA MWENZIO NA WASHA WI-FI HOTSPOT.
   kisha connect simu zenu hapo.

3:KWENYE SIMU YAKO WEWE FUNGUA GAME HILO LA DREAM SOCCER NA NENDA PALIPO ANDIKWA DREAM LEAGUE SOCCER ONLINE Bonyeza hapo nakisha utaona kwa chini mkono wa kushoto kuna neno [LOCAL WI-FI]

4:BONYEZA NENO HILO KISHA UTAONA INAANZA KU SEARCH GAME ,. IACHE HAPO KWANZA HAFU FATA HATUA HIZI TENA.
   

1:ZIMA WI-FI YAKO NA UWASHE WI-FI HOTSPOT KISHA KWA MWENZIO ZIMA WI-FI HOTSPOT NA UWASHE WI-FI
  Kisha connect muunganiko hapo.

2:CHUKUA SIMU YA MWENZIO FUNGUA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER

 NENDA PALIPO ANDIKWA DREAM LEAGUE SOCCER ONLINE bonyeza hapo na utaona neno itakapo funguka kwa chini neno vile vile LOCAL WI-FI. BONYEZA HAPO UTAONA INA SEARCH GAME >>KISHA BONYEZA KULIA HAPO KUNA NENO [CREATE GAME]. LIBONYEZE NA UTAONA MCHEZO UMENZA NA SASA PLAY MATCH.

PIA TAZAMA VIDEO HII KAMA UTAKUWA HUJAELEWA MAELEZO.

Asante sana kwa kua miongoni mwa wana familia ya smatskills, Tafadhari Waalike Rafiki ndugu na jamaa zako nao waweze kutembelea blog yetu na kujifunza mengi kama wewe ulivojifunza hapa.

Pia Tu follow katika social media zetu
     
  Bonyeza hapo>>  Instagram, facebook Na Twitter


Smatskills ©2017.