Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

15.11.17

Cheza Draft la Tanzania kwenye Simu yako sasa

Ni muda mrefu umepita huku bado kukiwa hakuna tumaini la kupata mchezo pendwa wa wengi, yaani Draft, kila mchezo uliozoeleka kucheza kawaida na kwenye simu upo,ukiqngalia kama pool table,mpiramichezo ya magari pikipiki yoote hiyo imekuepo kwa muda sana,lakini Draft nyingi zilizoko kwenye soko la Android sio muundo wa Tanzania.

Soma pia:-CHEZA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2017 NA MWENZIO KWA KUUNGANISHA WI-FI

 Kupitia smatskills tumekuandalia toleo zuri ambalo utalifurahia na kulicheza mara kwa mara.
  Checkers huu mchezo una matoleo tofauti kulingana na nchi, SmatSkills tumechunguza na kugundua kuwa SPANISH(PORTUGUESE) unaendana na nchi yetu.

Soma pia:-IFAHAMU CYBERGHOST VPN HAPA

nikimaanisha kuwa ukicheza aina hiyo kete haitaweza kurudi nyuma bali kingi ndiyo yenye uwezo wa kula kwa kuzunguka pande zote,na idadi ya kete ni zile zile kama za Tanzania,usipate shida tumekuwekea hapa unaweza kupakua.
                    CHECKERS
                  
                       
Endelea kua karibu na blog yetu ili upate kujua mengi zaidi,usisahau kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii ili taarifa zikufikie mapema zaidi