Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.11.17

CHAJI SIMU YAKO KWA SEKUNDE 10 TU!Watu wengi sana mnaboeka Pindi simu zenu zinapoishiwa chaji Na inachukua mda sana kuja ukaijaze simu yako ili uendelee na matumizi yako.

Basi sitaki nieleze sana ila leo smatskills tumeona tukuletee  trick hii ya Kuchaji simu ndani ya Sekunde 10 tu,.
   Cha mhimu zingatia mahitaji hayo hapo chini.


Mahitaji Ambayo ni Muhimu kabisa:

>>Aluminium paper [Kanunue kutoka supermarket]
>>Simu ambayo kwa pembeni imezungukwa na chuma au mzunguko wa Shaba.


Maelezo yote na Jinsi gani ya kufanya Tazama video hii kwa makini.
 SOURCE FROM:JOSHandMEL wakishilikiana na Smatskills.
Smatskills Pamoja tunaweza.