Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

28.11.17

BADILI MUONEKANO WA SAA YAKO KATIKA SIMU KWA MUUNDO UUPENDAO.

Habari gani wana smatskills?,

     Leo tumewaleteeni njia ya kubadili muonekano     wa Saa ya simu yako katika kioo kuweka katika       mtindo wowote uupendao bila ku root simu, kuwa   na simu yenye uwezo zaidi Au Kutumia Launcher.
  Hapana yote yanawezekana bila kufanya vitu.           hivo.
           

JE UTAFANYEJE???

PIA SOMA HAPA>KATI YA EDJING MIX Vs DJ STUDIO IPI NI BORA SOMA HAPA

    Jinsi ya kufanya:
             >kwanza kabisa unatakiwa uwe na App moja inaitwa 7time (seven time) (link ya kudownload mwisho wa maelekezo) .
 
>Baada ya kuidownload install (iingize katika list ya apps zako)

>Fungua app yako na fata hatua hizi^^
   

>Unapoifungua kitu cha kwanza utakutana na muonekano huo. 

>Jinsi ya kuweka muonekano mzuri na njia angalia hii video tumekuandalia. 

Natumai umeangalia video na umeelewa Jinsi au namna gani ya kufanya ili kuweka muonekano huo. 

DOWNLOAD HAPA 7time [SEVEN TIME] 

smatskills©2017