Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

5.11.17

BADILI KASI YA MTANDAO WAKO KUTOKA 3G-4G

Watu wengi sana wamekuwa wakishindwa kutimiza malengo yao katika suala zima la kasi ya mitandao wanayotumia kuwa katika Hali ya chini kutokana na Sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo ni kukosa Kasi ya haraka zaidi ambayo ni 4G kwa sababu ya simu zao kuto Support kasi hiyo ingawaje wana tumia laini Za 4G.

    Basi leo Smatskills wataalamu wa Technology hapa Tz tumewaleteeni mbinu mpya Ambayo itakusaidia kukamilisha ndoto yako ya kutumia kasi ya 4G ingawaje una simu ambayo hai support kasi ya 4G Bila ku root simu yako .

NOTE:LAZIMA UWE NA LAINI INAYOTUMIA KASI YA 4G NDIPO UFATE MAELEKEZO HAYA.

            MAHITAJI:
>LAINI YA 4G mtandao wowote
>SIMU YAKO HIYO

Hatua:
Piga Code hizi katika simu yako >> *#*#4636#*#*
 Maelekezo yote namna ya kufanya katika hizo code Angalia hapa katika hii video.


Fata maelekezo vizuri katika hiyo video kisha Utafanikiwa bila tatizo lolote.
 Mpaka hapo itakuwa umemaliza zoezi zima.

Ningependa kukuambia kitu ewe mpenzi na mfuatiliaji wa Smatskills ,
Tafadhari  Waalike wenzio watembelee blog yetu ili nawao wajipatie maujuzi zaidi bila gharama yoyote ile.

Smatskills kwa pamoja tunaweza.