Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

8.10.17

WhatsApp waja kivingine

WhatsApp wameamua kuachia app yao ingine ya WhatsApp Business. Huenda ikawa ni mbinu ya kuizima Telegram baada ya kuonekana tishio.
Telegram wao wana kitu kiitwacho" Channel " yani ukiwa na chaneli unakuwa na watu wanaokufuatilia lakini hawawezi kuchangia kitu.
WhatsApp wameamua kuweka hii ili kuunganisha wafanyabishara na wateja wao iwe rahisi kuwasiliana pale ambapo kuna bidhaa mpya zimeingia,na hapo muuzaji ataweza kuwatumia Wateja picha na mteja kuagiza atakayoona kuwa inamfaa.app imeshaachiwa lakini bado haijaanza kutumia ukitaka kupakua hii hapa WhatsApp Business bado haijaanza kupatikana Play Store
Endelea kufuatilia blog yetu na utazidi kupata taarifa zaidi