Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

15.10.17

Unlock bootloader kwenye simu za Tecno


Watu wengi sana wamesumbuka sana na hizi simu za tecno kwanzia android 6 kwenda juu,nakutia moyo uwe karibu na blog yetu utapata ufumbuzi.

Kwanza kabsa hakikisha umebackup(okoa)data zako huenda zikafutika

MAHITAJI MUHIMU
Adb drivers kwa ajili ya kompyuta yako, kama huna unaweza kuzipakua hapa Download
Drivers za MTK kwa ajili ya simu yako pia unaweza pakua hapa univarsal adb drivers

 kisha nenda kwenye deverloper options(kama huoni kwenye settings gonga build number mara kadha mpaka uone)
"you are now a deverloper". Ingia ndani ya deverloper options weka tik au on kwenye USB debugging nenda OEM UNLOCK
 Zima simu yako unganisha na USB kebo kisha twende kwenye kompyuta sasa.hapa unaweza kutumia cmd au minimal adb and fastboot kama huna pakua hapa 👉 Download
Fungua sasa
Step (1)
Code.andika      ‎adb devices  piga Enter hapo Kompyuta itaonana na simu yako C9 (utaona build number kwenye kompyuta) kama haitotokea ujue bado simu na kompyuta hazionani rudia mwanzo
(Step 2)
Code andika .   adb reboot-bootloader piga Enter hapo simu itakuwa imewaka lakini haionyeshi kitu  step(3)
 fastboot oem unlock piga Enter.
Simu itakuuliza confirm Bootloader unlock? Bonyeza cha kuongeza sauti (volume up) kukubali
Hapo utakuaa umemaliza na. Ili kuwasha simu yako
 step(4)
fastboot reboot simu yako itajiwasha na hapo utakua ume unlock bootloader uko tayari sasa kuroot,una swali?uliza kwenye comment chini hapo