Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

9.10.17

Tumia OTG kebo hata kama simu haina uwezo huo

Huu ni mfumo ambao sio maarufu sana lakini umekuwa ukitamanika kwa kila mtu anayejaribu
 OTG kebo ni nini?

Ni mfumo ambao unaweza kuunganisha flash na simu yako,yani mfano unaweza kuwa na flash ndani ya flash kuna faili zako unataka kuzihamishia kwenye simu,badala ya kutumia kompyuta kufanya hiyo kazi itajubidi utumie mfumo huo wa OTG kebo.
  Maumivu yanakuja pale ambapo simu yako haina uwezo wa kukubali hii kitu. Je simu inakubali au haikubali? Ondoa shaka hapa natoa njia 1 ambayo ni rahisi sana . Ingia Play Store pakua ES file explorer (mimi natumia pro)toleo la kuuzwa
Chukua flash yako na kebo yako unganisha.
Tumia ES kwenda kufungua mafaili zako zilizopo kwenye flash yako.
 Kama una swali unaweza kuuliza hapo chini au oia unaweza kujiunga kwenye kundi letu Telegram SmatSkills Karibu sana