Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.10.17

Telegram vs WhatsApp ipi bora?Kwa sasa kuna maelfu ya apps za kuchat badala ya sms,apps hizi ili ziwe haraka hutumia data,lakini unaweza kujiuliza ni app ipi nzuri kuliko nyingine???.
Hapa wacha tuone Apps 2 tu
Telegram na WhatsApp

WhatsApp
 • Kutuma media 16MB mwisho
 • Wanachama wa kundi 256 mwisho
 • Kuwasiliana na mtu mpaka uwe na namba yake
 • Media support, muziki,video, picha na dokumenti
                 Telegram 
 • Kutuma media hadi 30GB
 • Wanachama wa kundi zaidi ya 5000
 • Kuwasiliana na mtu hakuna haja ya namba(username tu)
 • Media support kila kitu haichagui pia file kama apk,exe,zip n.k
 • Kuna robot tofauti tofauti na zinatoa huduma utakayo
 • Ukiwa na telegram Unaweza kupunguza baadhi ya apps kwenye simu yako.
 • Utaweza kupakua video popote
 • Unaweza kuendesha kundi bila kiongozi kuwepo

Kuna sifa zaidi ya hizo. Mpaka hapo utakuwa ushajua ni app ipi bora kuliko nyingine