Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

28.10.17

Tecno Phantom 8 yatambulishwa

Hii ni nyingine tena toka Tecno imbayo inatoka familia ya Phantom,imetambulishwa Dubai na sasa itaanza kusamabzwa maeneo yote ikiwemo Tanzania.
Kuna mabadiliko?,utanijibu baada ya kusoma uwezo na sifa zake, yasome chini hapo kisha unaweza kuniambia imekosa kitu gani ambacho unakipenda

Tecno Phantom 8 uwezo inayokuja nayo.


 • OS: Android 7.0 Nougat ikiwa na  HiOS 3.0
 • SIM Kadi mbili ndogo (Micro)
 • 4G LTE: IPO
 • Urefu wa Kioo: 5.7 Inchi FHD IPS Touchscreen
 • Ukubwa wa Kioo: 1080 x 1920 pixels (403 PPI)
 • Aina ya Prosesa: Octa-core 2.60 GHz Cortex, Mediatek chipset
 • RAM: 6GB
 • Ujazo wa ndani: 64GB.
 • Ujazo wa nje : microSD,hadi  2TB
 • Kamera ya nyuma 13MP
 • Kamera mbele : 20MP ikiwa na  LED flash
 • Betri: 3500 mAh (non-removable)lisilotoka

Uwezo na sifa nyingine
 • Sensors Accelerometer, Proximity, Compass, Rear Fingerprint and Light sensor
 • Messaging SMS, MMS, Email, Push Mail, IM
 • Browser HTML5

Kitu cha kupendeza inakuja na toleo la Android 7 Nougat lakini hiOS ikiwa ni 3.0 na baadae itapata sasisho la Android 8 Oreo,hii ni habari njema tofauta na ilivyokuwa simu za Tecno hapo awali.


Je umeipenda?? Bei rasmi haijajulikana ila endelea kuwa nasi utajua kila kitu.