Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

10.10.17

Samsung waachia kivinjari chao kupakuliwa

Ni muda mrefu sana umepita watu wakitamani kivinjari cha Samsung Internet,ilikuwa huwezi kupakua kabisa  apps yoyote ya Samsung kama simu yako ni tofauti, habari njema sasa.
Katinjari bora kabisa kuvinjari mtandaoni ni Samsung Internet,

wengi walio wahi kutumia simu za Samsung wamejionea uzuri wa hichi kivinjari kwanza kina wepesi na haraka,pili ukifungua tab mpya inakaa kwa nyuma,na sasa kimeachiwa kikiwa na manjonjo mengi zaidi,ni kikubwa lakini kina mambo mengi sana

Muonekano wa usiku(night mode)

Kama umekipenda unaweza kupakua hapa Samsung Internet