Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

17.10.17

PES 2018 MODS FTS 18 IN ONE GAME ;PAKUA HAPA NA JIFUNZE JINSI YA KUINSTALL

Habari za saizi ndugu zangu?  Leo tumekuletea game moja lenye mfuto na challange nzuri zitakazo kufanya wewe mpenzi msomaji wa blog yetu kuenjoy na kuchangamsha akili katika android simu yako.


PES 2018 MODS FTS18 hili ni game ambalo limesheheni challenges, graphics nzur pia hii imetokana na muunganiko wa games mbili ambazo ni FTS 17 & 18 NA PES 2018 na kuunda kitu kimoja ambacho tunakiongelea leo hii katika blog yetu hii.

Kama tunavyojua game la FTS 17 NA 18 lilivyokuwa zuri na kukuchallange basi leo nitaenda kukupa game lingine ambalo liko na challange na mitego na umahiri wa hali ya juu

KAMA UJAWAHI CHEZA AU KUPAKUWA FTS 17 UJACHELEWA PAKUA HAPA


Hivyo ili kuweza kulipakua game hili PES 2018 MODS FTS18 unahitaji vitu vifuatavyo.

1. Z archiver download HAPA
2. Internet connection
3. Simu yako

Download Pes 2018 MODS FTS18 HAPA

Baaada ya kudownload fuatana nami kwenye video hiii nikikuonesha full step za kuinstall kwenye simu yako uweze kucheza leo hii saa hii na dkk hiii.

Pia endapo endapo ukikubwa na ttzo lolote usiaite kutuambia kupitia comments au jumuika nasi kwenye group letu la teknologia la telegram click HAPA kujiunga..

Watch instructions video hii hapa 👇👇👇👇👇