Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.10.17

LIFAHAMU NA PAKUWA GTA SAN ADREAS GAME HAPA FULL PACKAGE (1.99GB) COMPRESSED DATA FOR ANDROID

Habar za saizi ndugu na wasomaji wetu wa blog yetu.  Leo hii nmependa kushare nanyi game zuri lenye GRAPHICS KALI na challange nyingi za maisha GTA SAN ADREAS.GTA SAN ANDREAS ni game ambalo limeandaliwa na kudesigniwa na ma director tofauti kutoka nchini marekani.

Hili game linahusu maisha ya kawaida hasa kwa gangstar American hivo linalenga maisha ya vijana katika ulimwengu huu wa teknology.


Hivo bhac hili game katika uchezaji ni tofauti na magame mengine kwasababu hawa watengenezaji wa hili game wameweka features nyingi ambazo zipo takriban katika kila mzunguko wa maisha wa kila kijana mtaaani.

Hivo bhac wamejarbu kumwandalia mazingira mchezaji wa hili game kufeel uharisia kabisa katika maisha ya mtaani. Hivo bhac kwenye uchezaji lazima uset akili yako kwamba ni wewe upo mtaaani na unatafuta kitu fulan kujikwapua na matatizo yote katika maisha so unaweza kwenda popote na kuingia popote ukasaka chakula ukala ili upate nguvu.

Pia unauwezo ukafanya kazi ili upate pesa ya kununua chakula.... Katika game hili features zake ni kama maisha ya kawaida NO MONEY NO FOOD. Na usipokula katika game hili uwez kutembea wala kupata nguvu ya kukimbia au kufanya kitu.   JINSI YA KUDOWNLOAD GTA SAN ADREAS
 katika upatikanaji wa hili game full package umekuwa kidogo mgumu kwasababu dwvelopers wa hili game wameanza kulitoa kwenye baadhi ya website ambazo wanatoa hili game free na Playstore sasa HIVI full package ili kuipata lazima ulipie.


Lakini leo hiii utaenda li pakua hili game hapa for free hutoi hata cent. BAKI NAMI........

  MAHITAJI
1. Internet connection
2. Simu yako iwe free 4-6GB
3. IDM+ kama simu ipo slow kudownload large file tumia IDM+ ipakue HAPA


Download gta san andreas
APK HAPA (APK DOWNLOAD)

OBB DOWNLOAD HAPA

Note.  Hizo link zitakupeleka kwenye adlfy ads utaona inakaunti 5,4,3,1 kisha bonyeza SKIP AD utadownload


Utabonyez skip add

ILA kwa wale wa IDM hapo hawapat shida ukibonyeza hio link IDM itacopy io link na kuifungua kwenye browser ya IDM so kama kawaida ukibonyeza SKIP AD yenyewe itafetch download den utabonyeza start kama hivi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Utabonyeza start.

JINSI YA KUINSTALL GTA SAN ANDREAS KWENYE ANDROID YAKO.
Hili game lina support android kuanzia 4 mpaka 8 ni wewe tu simu yako ila FREE SPACE IWE 4-6GB kwenye simu yako.

MAHITAJI 
1. Z archiver au rar au 7 zip download HAPA

HATUA ZA KUFUATA. 
1.chukua hizo obb file kisha zi exctract na z archiver kisha file la obb kaliweke hapaπŸ‘‡

Internal storage /android/ObbNOTE KAMA UJUI JINSI YA KUTUMIA NA KUEXCTRACT HIZI ZIP FOLDER NA KUCHEZA NA HIZI OBB NA DATA ANGALIA HAPA nmeelezea kwenye tutorial ya PES 2018 jifunze.

2  baada ya kumove hizo OBB FILE install hio APK (GTA SAN ANDREAS APK)

Baada ya hapo RESTART SIMU. 
@enjoy ur game.

NOTE. Baada ya kurestart zma data connection kisha ndo ufungue game.

Endapo ukikwama usisite kutujuza kupita comments hapo chini.

Kama ni first time kucheza hili game angalia muongozo huu HOW TO PLAY πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Part 2 watch this πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Part 3 watch this πŸ‘‡Part 4 watch thisπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Part 5 watch this πŸ‘‡ πŸ‘‡

Part 6 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡