Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.10.17

KEYBOARD 5 BORA ZITAKAZO KUFANYA UTYPE FASTER

Hakuna kitu kinachoboa kama endapo keyboard ya simu yako kuchelewa kurespond pale unapo chat na ndugu, jamaaa na marafiki.


Hii husababishwa na
. Speed ya mtu binafsi
. Ram au speed ya processor ya simu.
. Keyboard used.

Hivyo basi leo smartskill tumekuletea keyboard 5 bora katika android yako zitakzokufanya utype haraka. Bila kupoteza mda tuchek vigezo za hazi keyboards. Katika kuchagua tumezingatoa customization, speed na wepesi.

         KEYBOARDS TANO BORA KWA KUTYPE                                 HARAKA HIZI HAPA.

5. Ikeyboard
Download HAPA

Note. Maelezo na features zake zote utazikuta hapo chini kwenye video .

4. Experia keyboard
 Download HAPA

Note. Features + maelezo angalia video hapo chini nmeelezea kila moja.

3. Google keyboard
Download HAPA

2. Smart keyboard pro
Download HAPA


1. Multiling O Keyboard. 
Download HAPA

     Kwa maelezo ya kina na features za kila keyboard na sifa zake angalia video hii hapa chini.
NOTE ANGALIA HII VIDEO KUNA VITU VINGI UTAVIJUA
Usisahau kucomment endapo ukiwa na top yako maana itatusaidia hata wasomaji wetu kusikiliza views zako.  Thanks

@smatakills 2017